Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Mtu anamilki vitalu vya madini lakini hakuna alichokiwekeza kulee sasa kama baasha wako ni mfanyabiashara anayeaminika kwa nn asienda benki kukopa pesa awekeze kwenye hayo maeneo anayo yahold kama barrick walivyowekeza aajiri watu na alipe kodi serikalini wewe wakusoma ndo unamuona tajiri mm ninamuona dalali tuu
 
Kwa taarifa yako hivi serikali unayoitukana ndo inamlinda huyuu baasha wako lasivyo angekuwa ameshafilisiwa an a madeni ambayo hayawezi kuyalipaa ndio mana kila siku anawakusanya watu kama nyie wenye mahitaji maalum aka mnaoishi kwenye mazingira hatarishii na kuwalisha wali na bia alafu kwa lengo la kumtetea
 
Lile eneo ambalo kunajengo la haiderplaza lilikuwa lake alipewa ma serikali buree kabisaa lakini akaliuza kwa wahindi jiulize sasa huyo ni mfanyabiashara au msaniii tuu
 
Hujitambui home plus... Huelewi unachoandika..rudi tu kule buguruni kaendelee na biashara yako ya kuuza tigo
 
Home plus huna akili..unasema mengi ameshindwa kusimamia biashara zake??hebu nijibu swali hapa kwa Tanzania super brand ni itv.INA maana wazungu wamekaa wakachambua makampuni tote tz..wakaona itv ya Mzee mengi ndiyo bora!.....TRA wamempa kitunzo mengi kuwa mlipaji kodi stahiki aliyetukuka!!sasa kama hawezi kusimamia biashara hizo kodi anazolipa hadi kupewa tunzo analipia matako ya baba yako au??
 
Kampuni kibao ni super brands. ITV ni kwa kuwa wanajitangaza sana ndio maana inaonekana kama ni super brand pekee. Hata Clouds, Serengeti Breweries, MeTL na kadhalika ni super brands.
 
Mzee punch acha ubwege..kwani wengine hawajitangazi??so unakubali itv ni super brand au unakataa?
 
Mimi naongelea kujipanua kibiashara hana lolote biashara zake nyingi zmefilisika uliza choko wakusoma sio unakurupuka superbrand services na product zpo nyingi nchi hii usitudanganye wale ITV wanapenda sifa na mishahara yao njaa angalia Alfred masako alivyochoka utafikili ndondochaa
 
Na kupa changamoto mengi ana leseni za madini kawekeza kiasi gani mnamuita muwekezaji au dalalai wana hana creativity yoyote itv from uk coca cola tena bonite bottlers kachukua leseni kutoka cocacola sasa kabuni mini huyu baasha wake ambaye kila Siku anakufirigisaa mpaka panawaka moto knye nani yako hy
 
Hata mm udalali nauweza huo wakupambna kwa kutumia kigezo cha uzawa alafu ukifanikisha unauza alafu ukipata hela unawaita watu wenye mahitaji maalumu kama wewe wakusoma unawalisha wali na biaa alafu unaonekana wewe msafii sio Mpiga dili watu walishamstukia kila mtu anaweza hiyo kituuu
 
Ha ha ha ! Mzee Mengi hana hamu na Sakata la escrow maana limeyafunua Madhambi yake yote sasa yupo wazi kila mtu anajua Mengi ni Mwizi.
 
Na kupa changamoto mengi ana leseni za madini kawekeza kiasi gani mnamuita muwekezaji au dalalai wana hana creativity yoyote itv from uk coca cola tena bonite bottlers kachukua leseni kutoka cocacola sasa kabuni mini huyu baasha wake ambaye kila Siku anakufirigisaa mpaka panawaka moto knye nani yako hy

Mengi kama lilivyo jina lake ni Mtu Mwenye Majanga Mengi lakini Hutumia vyombo vyake vya Habari kujikosha na kujidai anaonewa ili apate huruma za Wananchi, naona mwaka 2015 watu wamezinduka hawataki kukariri kuwa Mengi ni MUNGU kila analosema linatoka Mbinguni.
 
Mimi naongelea kujipanua kibiashara hana lolote biashara zake nyingi zmefilisika uliza choko wakusoma sio unakurupuka superbrand services na product zpo nyingi nchi hii usitudanganye wale ITV wanapenda sifa na mishahara yao njaa angalia Alfred masako alivyochoka utafikili ndondochaa

Hizo super brand ni za kununua kwa Rushwa, Mengi ni msanii mpaka kwenye tuzo
 
Mtu anamilki vitalu vya madini lakini hakuna alichokiwekeza kulee sasa kama baasha wako ni mfanyabiashara anayeaminika kwa nn asienda benki kukopa pesa awekeze kwenye hayo maeneo anayo yahold kama barrick walivyowekeza aajiri watu na alipe kodi serikalini wewe wakusoma ndo unamuona tajiri mm ninamuona dalali tuu
Mengi kapata mali kwa njia za kishetani sana na ndiyo maana ana tamaa sana kila kona anataka awepo yeye tena mwenyewe ni mbinafsi sana, Mengi Safari hii amepata somo kuwa wananchi wamechoka na mbinu zake za fitina.
 
Watu wakimtetea mhongo wamelipwa. Na wengine je? Mengi kawalipa? Hata mengi sio msafi ki hivyo na yeye ni mtu mzima hovyo. Kila siku ana zari kuanzia za ki siasa kibiashara mpaka kwa mabibi kutishia wanaume wenzake waliowahi kuwa date mabibi zake. Atulie sasa alee wajukuu wake.

Wajukuu wenyewe wamemzalia wanaume wengine si unajua yy Umri upo magharibi ! Michechepuko kweye Mapacha imehusika,Mengi huwa ni mpenda Visasi ndiyo maana Yupo kwenye Kambi ya Membe kwenye mbio za Urais maana anajua Membe ni Mpenda Visasi na wakaungana kisha Membe akawa Rais lazima watawafunga watu hadi magereza zijae na kufurika.
 
Naona itv kupewa usupa Brandi...kuna watu wanaumia roho.poleni sana michicha miba
 
Hapana ,hapana,mengi ni mwizi na anasemwa na wazalendo kama sisi ambao tunajua vinsi mengi anavyofanya wizi na utapele ahsante muhongo kwa kulidhibiti jizi hili la kichaga.

Mengi akiwa anakunywa Chao Kisha akasikia jina la Muhongo hudondosha kikombe chini, maana anaelekea kufirisika kwa kuwekeza pesa nyingi kwenye Fitna za kumteketeza Muhongo lakini hadi sasa anadunda, Mengi anaombea muhongo hata Augue maradhi sugu lakia dua zake pamoja na Sangoma wake wamefeli.
 
R.I.P chacha Wangwe. Laana na Mzimu wa Chacha wangwe umesimama kumnyoosha Mengi ndiyo maana Safari hii kapata wakati mgumu kuwashawishi Wananchi wamuunge mkono
 
Back
Top Bottom