Aya hapo inaonyesha ya kuwa alikufa na ulio okolewa ni mwili ambao tayari hauna roho, ndiyo maana aya ikasema "mwili". Wanao zungumziwa hapo ni wale walio fata ambao ishara zilikuwa wazi kwao ili iwe funzo kwao na si kwetu sisi. Kuanzia hakuna mwenye ushahidi wa mwili kwamba huu ni wa Firauni, na ndiyo maana tunasema hakuna mwili wa Firauni sababu hakuna ithibati hiyo.Chief naomba nielimishe zaidi; Kwahiyo kwa mujibu wa hiyo aya ni kwamba hakufa bali aliokolewa? Na kama ndivyo then possibility ya yeye kuishi mpaka utu uzima ipo? Lakini swali kuu ni; mwili halisi (the original body) yake ni ipi na iko wapi?