sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
wana. haki sana, kocha wao anatia hamasa sana, tulitoka kupigwa tano lakini tulikuwa na uhakika kwamba tutashinda dsm sababu team ya kutafuta goal ilikuwa inaonekana ila kwa sasa hapana kwa kweli aisee,dah..MSHAMBULIAJI MMOJA? KUANZIA AUGUST HADI MAY?Kwakweli huu ni mwaka wenu Uto,tambeni mtakavyo.
Kishingo ni mweupe,wakati anakuja alikuta bado upepo wa Uchebe unavuma ndani ya timu.wana. haki sana,kocha wao anatia hamasa sana,tulitoka kupigwa tano lakini tulikuwa na uhakika kwamba tutashinda dsm sababu team ya kutafuta goal ilikuwa inaonekana ila kwa sasa hapana kwa kweli aisee,dah..MSHAMBULIAJI MMOJA?KUANZIA AUGUST HADI MAY?
anatia hasira sana siku hizi kuangalia mechi ya simba roho mkononi..kichekesho nasikia wanataka straika mnigeria sasa sijui wa nini maana akija atarundika strikers watatu kwenye benchi wakigombania nafasi moja,wakiingia ni kuwachoresha maana kwa mfumo wake wanakuwa wanakimbiakimbia tuKishingo ni mweupe,wakati anakuja alikuta bado upepo wa Uchebe unavuma ndani ya timu.
Upepo wa Uchebe umekwisha sasa anaonekana madhaifu yake namna yalivyo.
Kuku kishingo achague moja kati ya haya mambo mawili"aondoke au abaki lakini bundi aamke"
Hakuna mchezaji aliyekuwa anachukiwa kama Deusi Kaseke na Nchimbi. Lakini Kaze kambadilisha Kaseke kawa Kaseke mpya kabisa anayejiamini, kutoa pasi, kukaa kwenye nafasi, na mwenye kutumia akili nyingi sanaNimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze
Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi jina lake lipo kwenye daftari moja na wakina Jurgen Klopp
Kaze huyu ndie alikuwa Mchambuzi wa viwango kwa timu ya Taifa ya Ujerumani chini ya miaka 21, kilichotwaa kombe la dunia 2009, weka nukta hapo! Yaani Ujerumani walimpa majukumu nyeti sana
Kaze huyu alipewa kazi maalum na taifa la Ujerumani kufuatilia viwango vya viungo wao ingali wadogo, Toni Kroos, Sami Khedira na Mesuit Ozil, aliifanya kazi na akaikamilisha kazi
Kwanini namtaja sana Kaze leo?? Naachaje kumtaa kama mnamwona Kibwana Shomari mchezaji kinda amebadilika kabisa anachukua mali eneo lake, anatunza mali kwa kujiamini na anaitoa kwa kujiamini
Naachaje kumtaja Kaze kama ndie amempeleka Fei Toto mgahawani kisha achague Menu anayotaka, alichofanya yeye ni kumlipia bill yake, akamuweka sawa Mukoko, akawaambia Yanga chezeni kwa kumtazama huyu mtoto, nadhani mnamwona
Naachaje kumtaja Kaze kama sio yeye aliemuibua Saido Ntabazonkiza ingali kinda, akacheza michezo ya Rolling stone pale Arusha, akaenda Ulaya na karudi tena kwenye mikono yake, tukionacho kwake ni matokeo ya akili ya Kaze, aliesema mpeni mpira aamue yeye
Natamani sana nimalize kwa kusema nyuma ya ubora wa Yanga Afrika ni huyu Kaze, natamani tumsake yule Mswahili aliesema 'Ngoja ngoja huumiza matumbo' tumuombe atengue kauli
Goli tatu, alama tatu na round ya kwanza imeisha .
Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze
Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi jina lake lipo kwenye daftari moja na wakina Jurgen Klopp
Kaze huyu ndie alikuwa Mchambuzi wa viwango kwa timu ya Taifa ya Ujerumani chini ya miaka 21, kilichotwaa kombe la dunia 2009, weka nukta hapo! Yaani Ujerumani walimpa majukumu nyeti sana
Kaze huyu alipewa kazi maalum na taifa la Ujerumani kufuatilia viwango vya viungo wao ingali wadogo, Toni Kroos, Sami Khedira na Mesuit Ozil, aliifanya kazi na akaikamilisha kazi
Kwanini namtaja sana Kaze leo?? Naachaje kumtaa kama mnamwona Kibwana Shomari mchezaji kinda amebadilika kabisa anachukua mali eneo lake, anatunza mali kwa kujiamini na anaitoa kwa kujiamini
Naachaje kumtaja Kaze kama ndie amempeleka Fei Toto mgahawani kisha achague Menu anayotaka, alichofanya yeye ni kumlipia bill yake, akamuweka sawa Mukoko, akawaambia Yanga chezeni kwa kumtazama huyu mtoto, nadhani mnamwona
Naachaje kumtaja Kaze kama sio yeye aliemuibua Saido Ntabazonkiza ingali kinda, akacheza michezo ya Rolling stone pale Arusha, akaenda Ulaya na karudi tena kwenye mikono yake, tukionacho kwake ni matokeo ya akili ya Kaze, aliesema mpeni mpira aamue yeye
Natamani sana nimalize kwa kusema nyuma ya ubora wa Yanga Afrika ni huyu Kaze, natamani tumsake yule Mswahili aliesema 'Ngoja ngoja huumiza matumbo' tumuombe atengue kauli
Goli tatu, alama tatu na round ya kwanza imeisha .
Mimi nilikuwa mmoja wao japo sijawa na utani nae 100%Hakuna mchezaji aliyekuwa anachukiwa kama Deusi Kaseke na Nchimbi. Lakini Kaze kambadilisha Kaseke kawa Kaseke mpya kabisa anayejiamini, kutoa pasi, kukaa kwenye nafasi, na mwenye kutumia akili nyingi sana
Bwege kwel ww unawafanansha ma coach wa Europe na huyo MAITINimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze
Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi jina lake lipo kwenye daftari moja na wakina Jurgen Klopp
Kaze huyu ndie alikuwa Mchambuzi wa viwango kwa timu ya Taifa ya Ujerumani chini ya miaka 21, kilichotwaa kombe la dunia 2009, weka nukta hapo! Yaani Ujerumani walimpa majukumu nyeti sana
Kaze huyu alipewa kazi maalum na taifa la Ujerumani kufuatilia viwango vya viungo wao ingali wadogo, Toni Kroos, Sami Khedira na Mesuit Ozil, aliifanya kazi na akaikamilisha kazi
Kwanini namtaja sana Kaze leo?? Naachaje kumtaa kama mnamwona Kibwana Shomari mchezaji kinda amebadilika kabisa anachukua mali eneo lake, anatunza mali kwa kujiamini na anaitoa kwa kujiamini
Naachaje kumtaja Kaze kama ndie amempeleka Fei Toto mgahawani kisha achague Menu anayotaka, alichofanya yeye ni kumlipia bill yake, akamuweka sawa Mukoko, akawaambia Yanga chezeni kwa kumtazama huyu mtoto, nadhani mnamwona
Naachaje kumtaja Kaze kama sio yeye aliemuibua Saido Ntabazonkiza ingali kinda, akacheza michezo ya Rolling stone pale Arusha, akaenda Ulaya na karudi tena kwenye mikono yake, tukionacho kwake ni matokeo ya akili ya Kaze, aliesema mpeni mpira aamue yeye
Natamani sana nimalize kwa kusema nyuma ya ubora wa Yanga Afrika ni huyu Kaze, natamani tumsake yule Mswahili aliesema 'Ngoja ngoja huumiza matumbo' tumuombe atengue kauli
Goli tatu, alama tatu na round ya kwanza imeisha .
Hukusikia kuwa makubaliano ya makataba na Kaze yalifanyika kabla hajafika nchini na alishiriki kwenye usajili wa baadhi ya Wachezaji kwa kuwaambia viongozi wa Yanga wasajili Wachezaji fulani akija awakute?Mmesajili bila kocha lakini mkuu
Duh hata kama ni chuki sio ya kipimo hiki,ustaarabu,utu na heshima ni kitu muhimu sana. Jeheshimu Mkuu.Bwege kwel ww unawafanansha ma coach wa Europe na huyo MAITI
Sawa Dada kavae kjora chako sasaHukusikia kuwa makubaliano ya makataba na Kaze yalifanyika kabla hajafika nchini na alishiriki kwenye usajili wa baadhi ya Wachezaji kwa kuwaambia viongozi wa Yanga wasajili Wachezaji fulani akija awakute?