Huyu ndiye Askofu Josephat Mathias Gwajima (Jasusi la Mbinguni)

View attachment 3375677Jina: Josephat Mathias Gwajima
Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970
Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza
Uraia: Mtanzania
Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima
Watoto: Watatu
Lugha: Kiswahili, Kiingereza

Elimu
1979–1985 – Kabale Primary School, Mwanza – Elimu ya Msingi
1990–1993 – Buswelu Secondary School, Mwanza – Elimu ya Sekondari (CSEE)
1993–1994 – Grace College of East Africa, Nairobi – Diploma ya Theolojia
1995–1998 – West Coast Bible College & Seminary, USA – Shahada ya Kwanza ya Theolojia
2000–2002 – West Coast Bible College & Seminary, USA – Shahada ya Uzamili ya Ushauri wa Kiroho
2002 – West Coast Bible College & Seminary, USA – Leseni ya Uaskofu
2012–2015 – Omega Global University, Afrika Kusini – Shahada ya Heshima ya Udaktari (PhD ya Heshima katika Theolojia)

Uzoefu wa Kazi ya Kidini
1994–1995 – Mchungaji Mkuu, Full Gospel Church of Yoido – Musoma
1995–sasa – Mwanzilishi na Askofu Mkuu wa huduma ya Ufufuo na Uzima (Glory of Christ Tanzania Church)
– Kiongozi wa maelfu ya makanisa ndani na nje ya Tanzania
– Mhamasishaji wa kitaifa wa mikutano ya injili, maombezi, na huduma ya kiroho
– Mwandishi wa vitabu zaidi ya 40 vya kiroho
– Mtetezi wa familia, maadili, kizazi kipya na uthubutu wa kiroho

Uzoefu wa Kisiasa
2020–sasa – Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
– Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
– Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
– Mjumbe wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira
– Mpambanaji dhidi ya dhuluma, utekaji nyara, rushwa, na vitisho vya kimamlaka

Migogoro Maarufu

Mgogoro dhidi ya Paul Makonda (Daudi Albert Bashite)

Askofu Gwajima aliingia kwenye mgogoro mkali na Paul Makonda baada ya kutajwa katika orodha ya watu wanaodaiwa kujihusisha na dawa za kulevya. Makonda alitaja majina hayo hadharani bila ushahidi, jambo lililoibua taharuki. Gwajima alimuita Makonda β€œzero brain” na kudai kuwa anatumia vyeti feki baada ya kufeli shule. Alisema jina lake halisi ni Daudi Albert Bashite, siyo Paul Makonda, na alimtuhumu kwa kutumia jina jipya kuficha historia yake. Gwajima alimshutumu pia kwa uvamizi wa Clouds TV na kuendesha utawala wa kibabe uliokosa hekima.

Mgogoro dhidi ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Askofu Gwajima alikosana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete baada ya kumkosoa hadharani kuwa ni mla rushwa, asiyependa kukosolewa, na kiongozi aliyeshindwa kukemea uovu. Alieleza kuwa baada ya kutoa kauli hiyo, aliwekwa kwenye shinikizo la kisalama kwa kutishiwa maisha. Inasemekana Kikwete alitumia maofisa wa usalama (TISS na askari) kwa lengo la kumuua Gwajima, lakini mipango hiyo ilishindikana. Gwajima alisisitiza kuwa hatanyamaza mbele ya uovu unaofanywa dhidi ya taifa, na ataendelea kusema ukweli bila woga.

Mgogoro dhidi ya Kardinali Polycarp Pengo
Askofu Gwajima alimkemea Kardinali Pengo vikali baada ya kutoa kauli ya kuunga mkono serikali kuanzisha Mahakama ya Kadhi. Gwajima aliitaja kauli hiyo kuwa ya hovyo na isiyozingatia msingi wa taifa la kidemokrasia na lenye mchanganyiko wa dini. Alisisitiza kuwa serikali isithubutu kuanzisha Mahakama ya Kadhi kwa kuwa ni hatari kwa umoja wa kitaifa. Migogoro hii ilipelekea mvutano mkubwa wa kiimani kati ya makanisa ya kipentekoste na Kanisa Katoliki, huku Gwajima akitetea msimamo wa makanisa huru na uhuru wa kidini bila upendeleo wa serikali.

Ujuzi
– Uongozi wa kidini na kisiasa
– Uwasilishaji wa hadhara kwa maelfu ya watu
– Ushauri wa ndoa na familia
– Uandishi wa vitabu vya kiroho
– Kujenga na kusimamia taasisi za huduma
– Huduma za maombezi, uponyaji, na ukombozi wa kiroho
Gwajima ni mhalifu na mhuni aliyevumiliwa sana. Sasa ni wakati wa kushughulikiwa kikamilifu.
 
Tuondolee huyu tapeli chawa ambaye sasa yuko anajiharishia baada ya kulikoroga na kushindwa kulinywa.
 
Theology ni uongo mtupu, kwa hio ana phd ya uongo
Hata hiyo bachelor yenyewe hana wala certificate ya form five wala diploma. Yote ni utapeli wa kawaida. Ukimsikiliza, ni kihiyo wa kawaida ila mjanja mjanja anayenukuu watu tu. Gwajima hana elimu yoyote ya kuita elimu zaidi ya kughushi kama kawaida yake na wenzake. Ni chawa tu wa kawaida asiyeona mbali zaidi ya urefu wa pua yake.
 
His excellence Dr. Rev. Bishop honorable pastor Gwajima (A.K.A Gwaji boy) kumbe kamuacha parefu sana yule aliyeishia foo foo na kufanya vibayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ
Form four yangu,
inge niuma Sana nili isoma kijijini ki maskini Sana.

Na ilikua ni dedication maana Mimi peke yangu kwetu ndie nimesoma shule za ki maskini both level.

Wapo walio SEMA pembeni kua Sito fika popote/ wapo ndugu walisema na Nika ambiwa na wenye Nia njema SITOBOI 😊😌 Mimi negative motivations kwangu ndio huwa kama positive support

NINGE FAIL FORM FOUR NINGE UMIA MPAKA LEO/ KAMA ILITAKIWA NISOME KITABU CHOCHOTE NILIKIWEKA KICHWANI. Iwe ku kariri na ku meza nilifanya usiku na mchana

NILI FAULU FORM FOUR KWENDA SHULE ZA VIPAJI MAALUM FROM SHULE ZA KAWAIDA NA FOR SURE NILI KUA MPOLE SANAA/ MTULIVU NA MNYENYEKEVU SANA.

πŸ€“πŸ˜…πŸ€£ Nakumbuka Mara nyingi Mimi nilikua mtu wa kujiweka nyuma nyuma siku zoteee Ila watu ndio uni nyanyua na kunipeleka mbele Example.

Niliwai kuomba chaki au pen several times niwasaidie ku solve maswali tofauti tofauti wakawa Wana ni nyima ikatokea wakashindwa wakanipa chance toka iyo wali niangalia kwa jicho la tofauti Sanaa

Hata kwenye mitihani mpaka masters level jina lilitoka nimeongoza MATOKEO wanaulizana huyu ni nani toka hapo ndio Wana anza kuniangalia kwa jicho maalum si unajua binadamu.

Pengine nisinge kua nafanya hili nacho fanya mpira wa miguu ungefanya yootee Tena easy na kwa uraisi. Sana maana kwenye mguu wangu wa kushoto mwenyezi Mungu aliweka kipaji Cha ajabu Sanaa mpira uli nitii

secretarybird
min -me
Monetary doctor

E.t.c
 
Hata hiyo bachelor yenyewe hana wala certificate ya form five wala diploma. Yote ni utapeli wa kawaida. Ukimsikiliza, ni kihiyo wa kawaida ila mjanja mjanja anayenukuu watu tu. Gwajima hana elimu yoyote ya kuita elimu zaidi ya kughushi kama kawaida yake na wenzake. Ni chawa tu wa kawaida asiyeona mbali zaidi ya urefu wa pua yake.
bado hujasema! woote mtatoa milio mwaka huu pumbavu nyie
 
Hata hiyo bachelor yenyewe hana wala certificate ya form five wala diploma. Yote ni utapeli wa kawaida. Ukimsikiliza, ni kihiyo wa kawaida ila mjanja mjanja anayenukuu watu tu. Gwajima hana elimu yoyote ya kuita elimu zaidi ya kughushi kama kawaida yake na wenzake. Ni chawa tu wa kawaida asiyeona mbali zaidi ya urefu wa pua yake.
Mambo vipi Daudi?
 
Heri sie 'wapumavu" kuliko wewe zwazwa na chawa wa kunuka πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
soon itafahamika tu nani chawa anayenuka kati yangu na wewe boya
 
Back
Top Bottom