Huyu ndiye Askofu Josephat Mathias Gwajima (Jasusi la Mbinguni)

Aisee, profile yake iko izuri. I
naelekea kuna kitu anakielewa kijamii. Hata uchungaji wake una msingi sio wa kuibukia tu.
 
Gwajima tapeli sema utapeli wake umejikita nje ya nchi sio ndani ya nchi hasa

Angekaa tu na kanisa tu na mambo ya kanisa kimya kimya hakuna mtu angemstukia mbona wako wengi tu kuanzia mapadre,Maaskofu,Wachungaji,katoliki,Lutheran,Anglican,mashehe nk wanaowaibia wazungu na watu wa nje marekani,ulaya ,uarabuni nk lakini serikali inakaa kimya kama haioni sababu pesa wakiwaibia wanawekeza miradi ya afya,elimu ,nk wafaidika ajira,elimu,tiba nk kwa hizo pesa ni watanzania serikali inakauka kimya sababu ni maeneo inahitaji usaidizi

Gwajima ananunua tu magari ya kifahari,majumba ya kifahari ya kuishi nk hana hata huduma kubwa za kijamii za kuhudumia watanzania na huo utapeli wake kutapeli watu wa nje wala kutoa ajira nyingi
Anaibia watu wa nje tu na ndani kutukana tu serikali
Ana faida gani kwa watanzania? Mwizi huyo?

..ndio maana akawezana na Ccm.

..angekuwa upinzani asingedumu ktk ufisadi kwa muda mrefu kiasi hiki.
 
Kanisa la Full Gospel Church of Yoido lilikuwa la mchungaji wa korea mwenye kanisa kubwa kuliko yote Duniani wa Korea kusini ,David Yonggi Cho na mwenye matawi duniani kote

Gwajima akadhulumu makanisa yake Tanzania akaanzisha hayo ya ufufuo na uzima kwa kutumia network ,platform na facilities na Mali za mchungaji Cho ambaye alifungua makanisa kibao Tanzania na alihubiri TV za Tanzania kuanzisha makanisa ya kwake

Laana ya Pastor Cho Mkorea kusini inamtafuna Gwajima.Utajiri wake wa dhuluma alidhulumu wakorea kusini waumini wa Mchungaji Cho wa kanisa la Yoido
Lingetusaidia nini kanisa la Pastor Yongi Cho kama Gwajima asingelitaifisha ???

Gwajima kuli hijack kanisa la Mkorea kuli convert kuwa la kibongo na kubakiza masadaka hapa hapa bongo huyu mtu ni mzalendo mkuu na mwenye akili na Mwafrika pekee aliyejanjaruka kukataa kudhalilishwa na kumtajirisha mzungu.

Mwafrika huwa anafurahia sana kazi ya mzungu ya kushikilia ufunguo wa choo.

Tunapaswa ku sabotage hata hizi BOLT na UBER, hela zake zibaki hapa hapa bongo.

Julius Nyerere ali confiscate ma taasisi ya Wamishionari na Wahindi akawatimulia kule. Joseph Gwajima is cut from the same cloth as Julius Nyerere.
 
Kanisa la Full Gospel Church of Yoido lilikuwa la mchungaji wa korea mwenye kanisa kubwa kuliko yote Duniani wa Korea kusini ,David Yonggi Cho na mwenye matawi duniani kote

Gwajima akadhulumu makanisa yake Tanzania akaanzisha hayo ya ufufuo na uzima kwa kutumia network ,platform na facilities na Mali za mchungaji Cho ambaye alifungua makanisa kibao Tanzania na alihubiri TV za Tanzania kuanzisha makanisa ya kwake

Laana ya Pastor Cho Mkorea kusini inamtafuna Gwajima.Utajiri wake wa dhuluma alidhulumu wakorea kusini waumini wa Mchungaji Cho wa kanisa la Yoido
gwajima alianzia kwenye kukodi bar, akajaza pale ubungo ndio akaanza kutoa wachungaji kwenda mikoani. sidhani kama una information sahihi.
 
View attachment 3375677Jina: Josephat Mathias Gwajima
Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970
Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza
Uraia: Mtanzania
Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima
Watoto: Watatu
Lugha: Kiswahili, Kiingereza

Elimu
1979–1985 – Kabale Primary School, Mwanza – Elimu ya Msingi
1990–1993 – Buswelu Secondary School, Mwanza – Elimu ya Sekondari (CSEE)
1993–1994 – Grace College of East Africa, Nairobi – Diploma ya Theolojia
1995–1998 – West Coast Bible College & Seminary, USA – Shahada ya Kwanza ya Theolojia
2000–2002 – West Coast Bible College & Seminary, USA – Shahada ya Uzamili ya Ushauri wa Kiroho
2002 – West Coast Bible College & Seminary, USA – Leseni ya Uaskofu
2012–2015 – Omega Global University, Afrika Kusini – Shahada ya Heshima ya Udaktari (PhD ya Heshima katika Theolojia)

Uzoefu wa Kazi ya Kidini
1994–1995 – Mchungaji Mkuu, Full Gospel Church of Yoido – Musoma
1995–sasa – Mwanzilishi na Askofu Mkuu wa huduma ya Ufufuo na Uzima (Glory of Christ Tanzania Church)
– Kiongozi wa maelfu ya makanisa ndani na nje ya Tanzania
– Mhamasishaji wa kitaifa wa mikutano ya injili, maombezi, na huduma ya kiroho
– Mwandishi wa vitabu zaidi ya 40 vya kiroho
– Mtetezi wa familia, maadili, kizazi kipya na uthubutu wa kiroho

Uzoefu wa Kisiasa
2020–sasa – Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
– Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
– Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
– Mjumbe wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira
– Mpambanaji dhidi ya dhuluma, utekaji nyara, rushwa, na vitisho vya kimamlaka

Migogoro Maarufu

Mgogoro dhidi ya Paul Makonda (Daudi Albert Bashite)

Askofu Gwajima aliingia kwenye mgogoro mkali na Paul Makonda baada ya kutajwa katika orodha ya watu wanaodaiwa kujihusisha na dawa za kulevya. Makonda alitaja majina hayo hadharani bila ushahidi, jambo lililoibua taharuki. Gwajima alimuita Makonda “zero brain” na kudai kuwa anatumia vyeti feki baada ya kufeli shule. Alisema jina lake halisi ni Daudi Albert Bashite, siyo Paul Makonda, na alimtuhumu kwa kutumia jina jipya kuficha historia yake. Gwajima alimshutumu pia kwa uvamizi wa Clouds TV na kuendesha utawala wa kibabe uliokosa hekima.

Mgogoro dhidi ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Askofu Gwajima alikosana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete baada ya kumkosoa hadharani kuwa ni mla rushwa, asiyependa kukosolewa, na kiongozi aliyeshindwa kukemea uovu. Alieleza kuwa baada ya kutoa kauli hiyo, aliwekwa kwenye shinikizo la kisalama kwa kutishiwa maisha. Inasemekana Kikwete alitumia maofisa wa usalama (TISS na askari) kwa lengo la kumuua Gwajima, lakini mipango hiyo ilishindikana. Gwajima alisisitiza kuwa hatanyamaza mbele ya uovu unaofanywa dhidi ya taifa, na ataendelea kusema ukweli bila woga.

Mgogoro dhidi ya Kardinali Polycarp Pengo
Askofu Gwajima alimkemea Kardinali Pengo vikali baada ya kutoa kauli ya kuunga mkono serikali kuanzisha Mahakama ya Kadhi. Gwajima aliitaja kauli hiyo kuwa ya hovyo na isiyozingatia msingi wa taifa la kidemokrasia na lenye mchanganyiko wa dini. Alisisitiza kuwa serikali isithubutu kuanzisha Mahakama ya Kadhi kwa kuwa ni hatari kwa umoja wa kitaifa. Migogoro hii ilipelekea mvutano mkubwa wa kiimani kati ya makanisa ya kipentekoste na Kanisa Katoliki, huku Gwajima akitetea msimamo wa makanisa huru na uhuru wa kidini bila upendeleo wa serikali.

Ujuzi
– Uongozi wa kidini na kisiasa
– Uwasilishaji wa hadhara kwa maelfu ya watu
– Ushauri wa ndoa na familia
– Uandishi wa vitabu vya kiroho
– Kujenga na kusimamia taasisi za huduma
– Huduma za maombezi, uponyaji, na ukombozi wa kiroho
BOGUS
————-

✍️Hakuna chuo chenye curriculum ya leseni ya uaskofu. Uaskofu ni daraja katika utumishi.
✍️Mtu unasomeaje honorary doctorate degree? Shahada ya heshima ya udaktari haisomewi. Ni zile shahada kama za kina Msukuma, Kikwete, Samia, etc.
 
Theology ni uongo mtupu, kwa hio ana phd ya uongo
 
Kanisa la Full Gospel Church of Yoido lilikuwa la mchungaji wa korea mwenye kanisa kubwa kuliko yote Duniani wa Korea kusini ,David Yonggi Cho na mwenye matawi duniani kote

Gwajima akadhulumu makanisa yake Tanzania akaanzisha hayo ya ufufuo na uzima kwa kutumia network ,platform na facilities na Mali za mchungaji Cho ambaye alifungua makanisa kibao Tanzania na alihubiri TV za Tanzania kuanzisha makanisa ya kwake

Laana ya Pastor Cho Mkorea kusini inamtafuna Gwajima.Utajiri wake wa dhuluma alidhulumu wakorea kusini waumini wa Mchungaji Cho wa kanisa la Yoido
Wewe ni malaika wa zamu hapo mbingu ya mchongo au ni kimada wa Gwajima?
 
His excellence Dr. Rev. Bishop honorable pastor Gwajima (A.K.A Gwaji boy) kumbe kamuacha parefu sana yule aliyeishia foo foo na kufanya vibaya😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Kuwa makini kuna jamaa anahadaa watu humu eti anataka kukuona anapenda threads zako.
Mtekaji huyo.
 
Gwajima tapeli sema utapeli wake umejikita nje ya nchi sio ndani ya nchi hasa

Angekaa tu na kanisa tu na mambo ya kanisa kimya kimya hakuna mtu angemstukia mbona wako wengi tu kuanzia mapadre,Maaskofu,Wachungaji,katoliki,Lutheran,Anglican,mashehe nk wanaowaibia wazungu na watu wa nje marekani,ulaya ,uarabuni nk lakini serikali inakaa kimya kama haioni sababu pesa wakiwaibia wanawekeza miradi ya afya,elimu ,nk wafaidika ajira,elimu,tiba nk kwa hizo pesa ni watanzania serikali inakauka kimya sababu ni maeneo inahitaji usaidizi

Gwajima ananunua tu magari ya kifahari,majumba ya kifahari ya kuishi nk hana hata huduma kubwa za kijamii za kuhudumia watanzania na huo utapeli wake kutapeli watu wa nje wala kutoa ajira nyingi
Anaibia watu wa nje tu na ndani kutukana tu serikali
Ana faida gani kwa watanzania? Mwizi huyo?
Kwani wewe hupendi utajiri?

Kama unadhani ni rahisi kihivyo "kuibia wengine hasa wazungu/Wakorea", jaribu na wewe uone moto utakaowashiwa mpaka ufe
 
Back
Top Bottom