Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

hakuna dini inayobariki mauwaji kama hayo si uislamu wala dini yoyote ile,kama walimuuwa ni ubara na uzanzibari ndio umetumika lakini chini ya kivuli cha dini kwa kuwa wauwaji labda ni khamisi na makame!!!!
mtume s.a.w aliishi kwa wema na yahudi wa madina alifanya nao biashara bali aliwahakikishia ulinzi na maisha bora walipokubaliana kimasharti,hakuuwa mwanamke wala mtoto wala mzee,na hakuuwa mtu yoyote nje ya vita au ndani ya vita huku hajabeba silaha!!!
huu si uislamu wala hawa wauwaji si waislamu wana agenda zao nyengine

you shut up hakuna aliyesema waislamu wameua ila mnajishtukia wenyewe u Better quit tunamsikitikia FATHER wetu,,, nan asiowajua nyinyi. RIP FATHER
 
Hali hii itaisha lini? Mwema lazima awajibike kwa hili. Dalili zake zilianza kuonekana mapema lakn jesh la polis kimya!
 
May his soul rest in eternal peace!
 
Ee Mungu ni mapenzi yako tu katika kipindi hiki cha Kwaresma yametufika haya, tunakuomba uipokee roho yake. Amen.
 
Hizo ni sound za Mwema uchunguzi wa mwanzo uliishia wapi?
 
Tutanzuka toka A-Z mwishowake lazma tutarud A. Yaliyotokea Buseresere, Kigoma, Mbagala na kwingineko tuliyaona. Inteligensia ya Mwema ilikuwa kipofu na kiziwi. Yangekuwa yale ya magwanda tungeambiwa mara ooh inteligensia imeona kwa kamera kubwa kuwa kutakuwepo na uvunjfu wa aman. Plz, plz msitupeleke tusikokutaka. Au kwakuwa hawa washka msalaba hawawez kujilipua?? Au kwakuwa wakipigwa lakushoto wanageuza nalakulia?? Aaah! Tunakwenda wapi jaman...? Mama kuku ndiye huwafundisha vfaranga kunya sebuleni.. Sasa kawafundisha..wakinya tusilaumu!
 
Uchunguzi wa kina ufanyike ukizingatia maeneo yafuatayo:

1. Kumewahi kutokea malumbano specific katika kanisa lake baina ya waumini na mapadri?
2. Padre alikuwa analalamikiwa katika jamii anayoishi? kwa lipi?
3. Je! Padre alikuwa na mahusiano yoyote na watoto wadogo hasa wakiume? wakati wowote ule?
4. Je! Padre kama mchagga alikuwa nafanya biashara yoyote akiwa Padre? kuzulumiana kukoje?
Nk NK
 
vita si vyetu bali ni vya Mungu;
Fr gone too soon, RIP.
 
Mungu amlaze katika pumziko la milele. Tubariki na kutulinda sisi tuliobaki. Mapenzi yako yatimie siku zote. Amina
 
Imechukua miaka mingi kwa Padre kusomeshwa na kufikia apo.Afu wanywa kahawa wenye elimu ya chuo wamechukua roho yke iv iv. Mungu akupe pumziko la milele.
 
Hongera shujaa wetu, umeifia Imani Mwenyezi Mungu akusamehe madhaifu yako akuingize kwenye uzima wa milele.
 
Ee baba uwasamehe kwa maana hawajui walitendalo.

Pumzika kwa amani Padre, Mungu twakuomba uwafariji wote walioguswa na msiba huu. Amina.
Sooo saaaaad!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hakuna dini inayobariki mauwaji kama hayo si uislamu wala dini yoyote ile,kama walimuuwa ni ubara na uzanzibari ndio umetumika lakini chini ya kivuli cha dini kwa kuwa wauwaji labda ni khamisi na makame!!!!
mtume s.a.w aliishi kwa wema na yahudi wa madina alifanya nao biashara bali aliwahakikishia ulinzi na maisha bora walipokubaliana kimasharti,hakuuwa mwanamke wala mtoto wala mzee,na hakuuwa mtu yoyote nje ya vita au ndani ya vita huku hajabeba silaha!!!
huu si uislamu wala hawa wauwaji si waislamu wana agenda zao nyengine
Mbona nimemsikia shekhe mmoja wa Mwanza akisoma vifungu vya qurran vinavyohamasisha kulipiza kisasi kwa maana ya kuua? Nadhani hii dini na mungu wao ndivyo wanavyotaka mambo yaende yaani jino kwa jin, mdomo kwa mdomo, n.k.
 
Back
Top Bottom