Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

Hizi damu za watu zinazomwaga bila hatia siku moja zitawalilia hata Kaini damu ya nduguye ilimlilia kwa kumuona kwa nini yeye. Sasa leo watu wanamwaga damu za watu wa kisema kwa nini wao hatuwataki wakati dunia iliumwa na Mungu na sote tu wapitaji. Wangapi walivuma leo wako wapi.

Pumzika kwa amani Father.
 
Naona ili suala tumeliegemeza kwenye udini zaidi.
Wengi wanawatuhumu waislam ndo wanahusika na hili na kutokana na dhana hii Amani ya Tz sasa ipo shakani.

Mimi nahisi hakuna udini katika matukio haya ya kumwagiwa tindikali kwa yule sheikh na kuuwawa kwa huyu padri isipokuwa kuna wasiotutakia mema ndiyo wanaendesha operesheni hii !!!

Si ajabu hawa watalii wa kizungu wakawa wanahusika na haya mambo ili kuchochea mnyukano waje watutawale maana harufu ya utajiri wa Gas,Uranium na Mafuta inawatoa mate.
Mungu atuhepushie mbali na vita hii inayonukia.



Uchunguzi wa kina ufanyike ukizingatia maeneo yafuatayo:

1. Kumewahi kutokea malumbano specific katika kanisa lake baina ya waumini na mapadri?
2. Padre alikuwa analalamikiwa katika jamii anayoishi? kwa lipi?
3. Je! Padre alikuwa na mahusiano yoyote na watoto wadogo hasa wakiume? wakati wowote ule?
4. Je! Padre kama mchagga alikuwa nafanya biashara yoyote akiwa Padre? kuzulumiana kukoje?
Nk NK

upande mwingine nakubaliana na huyu jamaa maana padri,Sheikh nao ni binadamu kama walivyo wengine au yawezekana Marehemu aligundua siri flani au akamkemea mtu/kikundi cha watu fulani ambao wanaheshimika machoni pa jamii but mafichoni wana mambo yao yasiyoelezeka so wakaamua kumnyamazisha ki hivyo lamuhimu kujua ni kwamba muuaji hana dini kabisa awe Islam au Christian
 
Back
Top Bottom