huyu ndie mfalme wa nyuki haswaaaa

huyu ndie mfalme wa nyuki haswaaaa

mmmmm jamani hadi nimesisimkaa.. inakuwaje hivi??
 
man-covered-in-bees.jpg
 
Haya siyo mazingaombwe au photoshop works. Hata sisi tunaowatanzania wanaohifadhi nyuki mwilini. Tena nyuki wetu ni wakali zaidi ya hao unawaona. Unaowaona ni nyuki wapole.

Singida Halmashauri kuna Afisa Nyuki anaitwa Meela akigundua kuwa kuna watu wanashangaa hizi picha atacheka sana. Nimepata kumpiga picha Bw. Meela akiwa amesilibwa na Nyuki kifuani kwenda juu mpaka mdomoni.

Nitajaribu kuitafuta na nikiipata nitaiweka hapa isaidie kupunguza mshangao.
 
Inakuwaje mambo hayo?
Mimi niliumwa na nyuki watano tu!
Maumivu makali,kuvimba na homa yake havitamkiki.
 
Mayai sana wewe, ama kweli watoto wa mama, hihiiiiiii (Jocking). Ni kweli wanauma sana na kung'ata juu yake.

Mie nikiwa shule ya msingi, nilikwenda kurina asali kwa mara ya kwanza na ya mwisho duniani na tukaishia kupotea. Ilibidi tusubiri hadi mwezi utoke ndiyo tukajua upande wa nyumbani ni wapi. Tatizo ni kuwa wakubwa wetu walipotea na ni mimi nilikuwa sawa nikionyesha upande wa nyumbani. Asali yote tuliyokuwa nayo, nusu nzima tuliishia kuila, hahahahaaa.

Siku hiyo nilivunja record kwa kuumwa na nyuki mara 18. Walikuwa wakiuma tu, natafuta hii kitu wanaita kwa Kiingereza Apitoxin Bee na ninaitowa na mchezo unaendelea. Kesho yake nikaingia shule kama sina akili njema vile? Uvimbe ulikuwepo kidogo sana. Ila siku hiyo ukweli waliuma hadi ikafika hatua nikawa sisikii tena uchungu na wakiuma, nacheka tu na kuondoa hiyo Apitiona.

stinger-sac2.bmp

Mkuu uzalendo huo mie sina!!

Huko Ghana:

Swarm of bees sting man to death

A swarm of bees stung a man, Opayin Yaw Botwe, alias O.K. Boye, of Nsawam, to death last Monday.

Abusuapanyin Kwadjo Awuku, spokesman for the family, told the Ghana News Agency that the deceased returned home from a friend's funeral at about 1430 hours and took a rest on a bench in the house.

He said all of sudden a swarm of bees attacked Opayin Botwe and stung him all over the body.

The spokesman said Opayin Botwe was rushed to the Nsawam Government Hospital but was later pronounced dead.

When the GNA contacted the Nsawam Police, Superintendent Kamkam Boadu, Commander, confirmed the death and said investigation was ongoing.
 
Asikudanganye mtu...hawa si nyuki wa kibongo tunao wajua... kama anaweza mwambie aje tumpeleke tabora kwenye mashamba ya nyuki ajaribu mchezo wake....akitoka salama ni pm dollar 2000 namkabidhi
 
Dont be so sure geophysics mimi binafsi nilishashuhudia huko Tabora hii kitu. Ilikuwa inafanywa na kundi moja la ngoma linaitwa wagoyangi. Sijui kama mpaka leo wapo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom