Huyu mwanawake Mungu anamuona...

Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi

Umelogwa
 
Unakumbatia miiba ndugu.
Dawa nzuri ya mwanamke anayekudharau ni dharau.
Mtext kuwa hutampugia simu wala kumwandikia SMS tena. Then fanya kama ulivyojikomiti
Akikujibu "Bora unipunguzie usumbufu utafanyaje?" Au asipokujibu utajisikiaje? Maana utaumia wew uliyependa, cha msingi alishakubali kuwa yupo low level na namna nzuri ya kujitoa hiyo level ni kukubali kuumia kwa kukaa kimya tu hata ikitokea amekumtafuta akaushe au ajibu simply as nothing has happened af asiongelee ishu za kuonana wala nn. Easy sana hiyo
 
labda nikuulize..ushamgonga?if yes..achana nae huyo ni mbinafsi.if no fanya juhudi umgonge then piga chini mjinga huyo.
 
Akikujibu "Bora unipunguzie usumbufu utafanyaje?" Au asipokujibu utajisikiaje? Maana utaumia wew uliyependa, cha msingi alishakubali kuwa yupo low level na namna nzuri ya kujitoa hiyo level ni kukubali kuumia kwa kukaa kimya tu hata ikitokea amekumtafuta akaushe au ajibu simply as nothing has happened af asiongelee ishu za kuonana wala nn. Easy sana hiyo
Mimi nawajua hawa viumbe. Ukiwaambia kuwa sitakutumia SMS wala kukupigia tena then kila akituma SMS ifute usiisome . ataumia na atajuta daima. Na hata ukiisoma kwa bahati mbaya usijibu
 
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
CHAUMMA ND'O SULUHISHO LA ADHA ZOTE NCHI HII,

USIFANYE MAKOSA MWAKA HUU MWEZI WA KUMI!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom