Huyu mwanawake Mungu anamuona...

Huyu mwanawake Mungu anamuona...

Umesema anafanya kazi dukani kariakoo, afu unataka achati na wewe muda wote, kazi afanye mda gani?
 
Kumbe ndiye huyu huyu Mwenye uzi wa wanawake kutaka kujisimamia kiuchumi! Hoves kabisa
 
soma uzi vizuri vocha ya bukutano kwa week piga mara mwezi
Buku 5 mara 4 inakuja sh 20,000 mwanaume uliyekamilika unahonga sh 20,000 unakuja jf kufungus uzi, hebu kueni basi, unaweza kua msomaji tu hapa jf, sio. Lazima kuandika uzi
 
Nilisikiaga wachaga wanaua waume zao kuchukua Mali ,inaniuma sana,Mme unaelala nae kitanda kimoja umuue?,

Well, piga kimya tafuta ka mchepuko, yimiza nahitaji yako ya ndani kama baba.hii uifanye kwa siri sana, asije akakuua kwa ukimwi, au uchawi

Kumbe wanaume ndo maana wanakufa mapema.

N.b tumia kondom.
 
Usiipe nafsi kila inachotaka vingine vitauponza mwili mbwana mdogo
 
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza.

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
Usimhusudu huyo siyo mama yako, piga chini hakupendi huyo, wanawake wapo wengi.
 
Kama amekushinda na huwezi kumuacha
Fanya maamuzi mapema habari za magunia ya mkaa hatutaki kuzisikia hapa

Simply she is not your type but wewe unafosi ndo mana anafanya hivyo
 
Yaani hujui tu kwamba bibie hakupendi, mnawezaje kuishi na watu kama hao?
 
Back
Top Bottom