Huyu mwanawake Mungu anamuona...

Huyu mwanawake Mungu anamuona...

Rekebisha tu kauli zifuatazo
#1 Kuwa una kazi ya maana sio kweli kwa sababu wenye kazi za maana hawafananii hivyo. We sema nina kibarua cha kunilisha basiii
#2 kuwa vocha ya 5000 ni pesa nyingi sio kweli kwani mimi tu natumia 10,000 kwa wiki. Na unaenda mbali kabisa kuwa 5000 zidisha kwa mwezi ni sh ngapi. Watu tunahonga zaidi ya 500,000 kwa mwezi na tunajua pesa ndo inapendwa na hatulalami mzee.
In short tafuta pesa kijana au tafuta wa hadhi yako ya hizo 5000 kwa wiki
safi jmn sio kwa kichambo hicho
 
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza.

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
Kwan mapenz bado ynaumiza hvi ngoja sku nkioa nione Ila Hawa ambao tnashare na watu kibao wskuumze kichwa
 
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza.

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
pole mwaya
 
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza.

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijiele
Bwana Yuda, kwanza kumbuka dunia inakulaani kwa kitendo cha kumsaliti bwana Yesu, again for the time being unaisaliti akili yako, cant you see that hupendwi? hicho kichwa ulichonacho kazi yake nini? boksa ya mwamposa wewe, jifunze kusoma alama za nyakati
 
jipende kwanza wewe hutasumbuka na mtoto wa mtu acha maujinga hayo.
 
We usiwe kama kiazi wanaume wote tupo uzi wa jstar1 tunaomba namba za mtu ana shape kali chura kalegea kama Bella Bellz wewe upo bize kutuambia jinsi gani unabaniwa kumega?

Upo serious? Mpaka akwambie hakutaki ndiyo uelewe? Shwain
Mnamfundisha umalaya mtoto wa watu

255677874655_status_d27441fe04ff49e9b090a734f52fd82a.jpg
 
Nakushauri vocha punguza..usimpe 5k ila muunge kifurushi cha week voda-voda shi 2000.
 
We usiwe kama kiazi wanaume wote tupo uzi wa jstar1 tunaomba namba za mtu ana shape kali chura kalegea kama Bella Bellz wewe upo bize kutuambia jinsi gani unabaniwa kumega?

Upo serious? Mpaka akwambie hakutaki ndiyo uelewe? Shwain
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom