Huyu mwanawake Mungu anamuona...

Huyu mwanawake Mungu anamuona...

Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
unalazimisha vitu mzee baba
tafuta saizi yako
 
We usiwe kama kiazi wanaume wote tupo uzi wa jstar1 tunaomba namba za mtu ana shape kali chura kalegea kama Bella Bellz wewe upo bize kutuambia jinsi gani unabaniwa kumega?

Upo serious? Mpaka akwambie hakutaki ndiyo uelewe? Shwain
Njoo jumamosi kwa rungwe pale manzese upate wa kula kimasihara

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
Solutions ni 2 tu,ama tafuta hela umhudumie au muache
 
Sport= spot. Mapenzi kikohozi endelea na huyo girl uone kama hatakupa kansa
 
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
Ukiona mtu hakufanyii hayo jua yupo anayemfanyia wewe ni chuma ulete jiongeze tu. Lazima kugana majukumu, wewe unalipia mwingine anamridhisha bure.
 
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
Pole bro ndio ukubwa
 
Duh!! Kuna wanaume wengine kweli mandondocha, hivi kweli hujui Wala huelewi au kuwa na fununu kuwa hupendwi,haitakiwi, wewe ni mtaji wa vocha tu..

Mkuu,hupendwi tafuta mwengine..hakutaki huyo....
 
"Mwanangu ukisikia maboya na majinga ndo haya" alisikika Mzee mmoja wa makamo alimuambia kijana wake
 
Rekebisha tu kauli zifuatazo
#1 Kuwa una kazi ya maana sio kweli kwa sababu wenye kazi za maana hawafananii hivyo. We sema nina kibarua cha kunilisha basiii
#2 kuwa vocha ya 5000 ni pesa nyingi sio kweli kwani mimi tu natumia 10,000 kwa wiki. Na unaenda mbali kabisa kuwa 5000 zidisha kwa mwezi ni sh ngapi. Watu tunahonga zaidi ya 500,000 kwa mwezi na tunajua pesa ndo inapendwa na hatulalami mzee.
In short tafuta pesa kijana au tafuta wa hadhi yako ya hizo 5000 kwa wiki
 
Back
Top Bottom