jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,956
- 9,438
Duh! Pole, Mimi kwangu Mademu wa Kichaga wanakuwaga wapole sana kwangu, alafu hata sijui kwa nini!?Mchaga! Huwa nikimwona mwanamke wa kichaga navuta taswira ya joka mwekundu kaingia ghetto kwangu

Mbona Kama unamtisha sana Wanawake wa Kichaga!?Unataka kupendwa na mwanamke wa kichaga anayeuza duka kariakoo? Kila la heri.
Simtishi, nimemtakia kila la heri.Mbona Kama unamtisha sana Wanawake wa Kichaga!?
Hakuna Upendo hapo kaka Usipoamua kuondoka utakuja juta maishani mwako, Mwanamke kama atakuelewa hawezi kuacha kujibu meseji kwa wakati na ishu ya Kuonana sio jambo gumu hata kidogoHabarini wadau,
Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza.
Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.
Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
Mleta mada hajui yeye ni danga.Kabisa yani.
nikupe ID yanguRekebisha tu kauli zifuatazo
#1 Kuwa una kazi ya maana sio kweli kwa sababu wenye kazi za maana hawafananii hivyo. We sema nina kibarua cha kunilisha basiii
#2 kuwa vocha ya 5000 ni pesa nyingi sio kweli kwani mimi tu natumia 10,000 kwa wiki. Na unaenda mbali kabisa kuwa 5000 zidisha kwa mwezi ni sh ngapi. Watu tunahonga zaidi ya 500,000 kwa mwezi na tunajua pesa ndo inapendwa na hatulalami mzee.
In short tafuta pesa kijana au tafuta wa hadhi yako ya hizo 5000 kwa wiki
Wanawake hata ukiwapa magari hawatoshekiHichi tu ndo unachompa????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah mkuuu unahonga laki tako kwl maisha kuna magepu me nkitumia hata 10 na dem ang napiga mahesabuRekebisha tu kauli zifuatazo
#1 Kuwa una kazi ya maana sio kweli kwa sababu wenye kazi za maana hawafananii hivyo. We sema nina kibarua cha kunilisha basiii
#2 kuwa vocha ya 5000 ni pesa nyingi sio kweli kwani mimi tu natumia 10,000 kwa wiki. Na unaenda mbali kabisa kuwa 5000 zidisha kwa mwezi ni sh ngapi. Watu tunahonga zaidi ya 500,000 kwa mwezi na tunajua pesa ndo inapendwa na hatulalami mzee.
In short tafuta pesa kijana au tafuta wa hadhi yako ya hizo 5000 kwa wiki
Njia nzur ya kumvutia msichana anayejifanya anaku-ignore na ww fanya hvyohvyo lazama atakutafuta mwenyw badaeMimi nawajua hawa viumbe. Ukiwaambia kuwa sitakutumia SMS wala kukupigia tena then kila akituma SMS ifute usiisome . ataumia na atajuta daima. Na hata ukiisoma kwa bahati mbaya usijibu
Habarini wadau,