nicholous mella
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 312
- 164
Mi sijaona ubinafsi hapo. Au labda ulikuwa unataka akulipe mxhahara kila mwixho wa mwezi
inaanza hela, maana usaliti pia unategemea sometimes helaHela au niseme kipato ni factor inayofuata kwa kuvunja ndoa/mahusiano ya watu, baada ya usaliti.
Msipo-manage vizuri vipato vyenu mtavunja mahusiano yenu kufumba na kufumbua.
Ni vile tu vijana wa leo wanajaribu kupingana na ukweli. Wanawake ni wabinafsi by nature when it comes to money or property. Mi nimekua naambiwa hivo, na nimejionea mwenyewe.
Mi hela ya waifu siangaikagi nayo, nikifulia nakufa na tai shingoni hivo hivo kibishi, humo ndani watafululiza maharage hadi nitakapo-stabilize au atakapojiongeza mwenyewe kuback up.
Sasa vijana wa leo, hela ya mwanamke nayo anaipangia matumizi, eti kusaidiana maisha duuh! Ndo maana wake zenu hawaheshimu mnabaki kulia lia tu. Sasa akuheshimu kwa lipi kama kila kitu mnasaidiana, kwa kumti...a au? Mbona hadi mbuzi wanajua kut...
Naona umekuja kujiteteaInahtaj akl sn kuishi na kiumbe mwanamke we mtoto wako bado tuko wachumba unataka nimtunze.
Unasema siweki mapato yng wazi hku unasema kipato chang ni kama 1.7-2 milion
Unadai mm mbinafs wkt huo unasema nmelipa mahali tyr na mby zaid husemi ni kias gn familia yko imenitoza pamoja na kuwa tyr una mtoto bado nmekuheshimu kukulipia mahali lkn huoni haya yte bado unanilaum kwa ubinafs bila kujali matatzo na mzigo nilionao mm sa nani mbinafc kati yng na ww?
Kwnn unakuwa na elements za utegemezi ilhali una kipato chako? Ambapo si ajabu kukuta na hcho kiduka nmekufungulia mm!
Anyway kama wajiona wa thamani sana waweza fuata ushaur ulopewa na hao ma single mother waliobobea ili naww uwe kama wao.
Hatahvo cwez hukumu bila kusikiliza upande wa mlalamikiwa.
karudie kusoma thread vizuri umekurupuka aseeKWA UFUPI NIKUAMBIE KUWA UFANYE MAISHA YAKO, HUYO SIO MWANAMKE WA KUWA NAE NI VAMPIRE LINANYONYA DAMU TU
hatareee,akimbie mapema tuDah ....some people are very selfish ...income of 1.7 million and you cant take care of someone you want to marry
Kuna maswal inabidi ujiulize wewe mwenyewe kwamba hio hela yote anaipeleka wapi au kuna mwingine anamtunza huko pembeni, tena hawa ndio wale watakutwisha mzigo wa familia yake kias kwamba hutaweza tena mwisho wa siku kufanya mambo ya maana, yeye atanawiri wewe utakua maybe 30's lakin utaonekana bibi wa miaka 60 ...sasa jiulize hio ndio ndoa unayotaka kuingia ? Jipe jibu then chukua hatua. Mapenzi/mahusiano/ ndoa ni kusaidiana kwa PAMOJA...mwenzio akipata elfu 10 na wewe kama ukipata unaongezea zinakua 20 maisha yanaenda, mmoja amebarikiwa anapata nyingi zaidi basi unafanya kwa ajili yenu nyote, ndivyo smart couples do,
Tena kwa kuongezea tu % kubwa ya hawa hua na domestic violence unakua tortured physically and psychologically,,so kua na msimamo and leave before its too late
ndugu yangu waafrika tuna mapenzi ya dhati tena sana. Ila ishu inakuja kweny hela hapo ndipo inapotokea kuonekana kuwa sis wanawake wanapenda sio kupenda ela ni umaskin tu unaopelekea. mf wenzetu mnazliwa mnakuta ela ipo na mahitaji yote mnapatiwa kila kitu mnapatiwa sasa mkija kupendana mnachopeana ni mapenz ya dhati na sio kuombana hela umeona hiyo logic. ila kwetu ss hapa wadada wanaonekn hawana mapenz ya dhati kwa sababu tu unaweza umpende dada labda una kipato unakuta yy hana sasa kwa kuwa hana inabidi akuombe ww hata ka ela kakujikimu na sio kwamba amekupenda kisa pesa hapana ila anakupenda ww but pesa ni mbadala wa kile anachokifanya kwa sisi kinachopelekea kufanya hakuna mapenzi ya dhati ni UMASKINI kupindukia.Watu wakiwa wanapendana shida kubwa hua kwenye swala la pesa ndo maana wazungu husemaga "this is Africa no true love in Africa" kimsingi anachokitaka huyu dada nk kulelewa yeye na mtoto wake, kulipiwa kodi ya chumba + duka la pharmacy yani huyu dada ni mnafiki anataka afanyiwe vitu ambavyo yeye hataki kuvifanya...
Kamsaidie kulitumbua basi mdada. .[emoji12]Aisee..hilo ni jipu
Unawafahamu vizuri mkuu... Na hapo Jirani kanda ya ziwaMweee jamani huyo baba kanda maalumu nini maana wale nao!
HAPANAWakati wa kutaka ushauri ulikuwa kabla ya hatua mlizopitia kwa sasa umechelewa inakulazimu kuvumilia changamoto iliyopo ukivunja uchumba ilihari mahari imetolewa utafarakana na familiar yako kwa heshima ya familiar yako kavumilie hayo kwa mumeo hayata kuumiza kwani unayajua nawe umejiandaa kwa hayo kila la kheri katika maisha mapya yatarajiwayo