Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Ndo maana Mimi huwa sitaki kutafuta hela na mwanamke, Mimi mke wangu atanikuta tayari nina nyumba magari na kila kitu,yeye kazi yake atakuwa mama wa nyumbani alee watoto
Duh ivi definition ya mapenz bado haijapatikan tu?Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara
Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo unazo
Sijakaa sawa mjomba ake akaomba laki akatumiwa
Yeye leo ananiambia kanunua cm ya laki 5...
Kinachoniuma anakipato kikubwa lkn hata kidogo changu anataka akijue mapato mpaka matumiz wkt za kwake sijui!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bora umejisemea ya moyoniiMm pia ni mgumu kutoa hela kumpa mwanamke ila siko kama huyo jamaa yako aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bora umejisemea ya moyonii
Wambie wengi hawalijui hilo hela yamkewe anaipangia budget heshima itoke wapi wakati majukumu mnafanya woteHela au niseme kipato ni factor inayofuata kwa kuvunja ndoa/mahusiano ya watu, baada ya usaliti.
Msipo-manage vizuri vipato vyenu mtavunja mahusiano yenu kufumba na kufumbua.
Ni vile tu vijana wa leo wanajaribu kupingana na ukweli. Wanawake ni wabinafsi by nature when it comes to money or property. Mi nimekua naambiwa hivo, na nimejionea mwenyewe.
Mi hela ya waifu siangaikagi nayo, nikifulia nakufa na tai shingoni hivo hivo kibishi, humo ndani watafululiza maharage hadi nitakapo-stabilize au atakapojiongeza mwenyewe kuback up.
Sasa vijana wa leo, hela ya mwanamke nayo anaipangia matumizi, eti kusaidiana maisha duuh! Ndo maana wake zenu hawaheshimu mnabaki kulia lia tu. Sasa akuheshimu kwa lipi kama kila kitu mnasaidiana, kwa kumti...a au? Mbona hadi mbuzi wanajua kut...
Aah,siku ileilee[emoji23][emoji23][emoji23] ile niliyo kutumia imeisha?
Kaa mwaya unaweza jipatia chako humu...Ngoja nikae karibu aiseee ...ha ha ha
Wengine hawabadiliki mkuu laa anaweza mwambia kaa nyumbani mie nitaleta , ndiyo hapo hata kipoda cha kupaka uso utaambiwa unaharibu pesa dada yangu kaniomba mmewe hana hela ya sikukuu mke unachina tu hapaTatizo wewe sio mvumilivu..subiri ukiingia kwenye ndoa ukiona hakutimizii mahitaji ndo uanze kumganda pengine anakupima kama una uvumilivu maana wanawake wengi wapo after material thinngs.
Aah,siku ileilee
Nitamtuma dogo aje,.kesho zamu yangu kupikaKesho uje getto nina zawadi yako toka Kusini.
Nitamtuma dogo aje,.kesho zamu yangu kupika
Duuh,.rudi tuu ntwara bwana ww baah!!!Sawa ngoja nisubiri zamu iishe
HahahahaWow,[emoji28] naona mwenyewe kashaona fursa hii adhimu
Duuh,.rudi tuu ntwara bwana ww baah!!!