Huyu mwanaume tutawezana kweli?

Huyu mwanaume tutawezana kweli?

Chukua hatua stahiki makucha yameonekana usijejuta baadae wakat vitu vilikuwa peupe tyu mmmmmh! Unajua mwenyewe
 
Mambo madogo tu hayo mkianza kupika chungu kimoja ndani mtaelewana tu
 
Mhhh heri nusu shari kuliko shari nzima yaaani ni bora ukaushia njiani kabla hujajifunga. Ila wadada wakisikia kigezo cha kuolewa huchanganyikiwa sidhani kama utatusikiliza mawazo yetu haya. Mimi naona huyo atakutesaaaaaaà
Shida ndiyo hiyo wwasikia tu ndoa basi hata kama mtu hapendezwi na tabia anavumilia tu bora nikaolewa hata miaka 30 lakini nikawa na amani na ndoa kuliko kuwahi halafu unakimbilia stress watu wanalazimisha ndoa, niliwahi msikia dada mie nilikuwa nataka ndoa tu
 
Kwa maelezo hayo na kama kweli usemayo ni kweli basi huyo ndugu hakufai, lkn ni akili yako kichwani kuamua kuendelea nae au kuachana nae
 
Kazi kweli kweli. Ushauri wa bure Kabisa kama ni mbinafsi ila maendeleo yanaonekana ni vizuri ila kama anafanya hivyo anavyo kufanyia acha nae. Ndoa ya kweli inafungwa moyoni kanisani ni geresha tu
 
DADA mimi nikiwa kama kidume ambaye nitabia za kidume dume kwahivyo hata vidume wenzangu naweza kuwaelezea vizuri

nikupe tu ushauri dada RUUUUUUUUN before it is too late... run dada run

hakuna mume hapo ...hapo umepata mume selfish na uselfish wake utakuja kuuona ukishazaa naye huyo mtoto wako mwingine ndani ya nyumba ataonekana kama takataka

haya ni maneno kutoka kwangu mimi mwanaume najua wanaume tulivyo... chukua maneno yangu changanya na akili zako

ila narudia tena Ruuuuun before its too late
 
Hahahaha
Jamaa hakuna hata mtu mmoja kwenye huu uzi alo mtetea.
She should just go. Atapata mwingine asipo pata hata mi ntajitolea kumsitiri
Kama alitegemea faraja alie tuu leo,lakini bora ukweli mchungu bhana.....eheee utamsitiri kwa kumuoa ama!!??
 
Inahtaj akl sn kuishi na kiumbe mwanamke we mtoto wako bado tuko wachumba unataka nimtunze.

Unasema siweki mapato yng wazi hku unasema kipato chang ni kama 1.7-2 milion

Unadai mm mbinafs wkt huo unasema nmelipa mahali tyr na mby zaid husemi ni kias gn familia yko imenitoza pamoja na kuwa tyr una mtoto bado nmekuheshimu kukulipia mahali lkn huoni haya yte bado unanilaum kwa ubinafs bila kujali matatzo na mzigo nilionao mm sa nani mbinafc kati yng na ww?

Kwnn unakuwa na elements za utegemezi ilhali una kipato chako? Ambapo si ajabu kukuta na hcho kiduka nmekufungulia mm!
Anyway kama wajiona wa thamani sana waweza fuata ushaur ulopewa na hao ma single mother waliobobea ili naww uwe kama wao.

Hatahvo cwez hukumu bila kusikiliza upande wa mlalamikiwa.
 
Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara

Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo unazo
Sijakaa sawa mjomba ake akaomba laki akatumiwa
Yeye leo ananiambia kanunua cm ya laki 5...

Kinachoniuma anakipato kikubwa lkn hata kidogo changu anataka akijue mapato mpaka matumiz wkt za kwake sijui!!!
Pole sana ...
 
Hela au niseme kipato ni factor inayofuata kwa kuvunja ndoa/mahusiano ya watu, baada ya usaliti.

Msipo-manage vizuri vipato vyenu mtavunja mahusiano yenu kufumba na kufumbua.

Ni vile tu vijana wa leo wanajaribu kupingana na ukweli. Wanawake ni wabinafsi by nature when it comes to money or property. Mi nimekua naambiwa hivo, na nimejionea mwenyewe.

Mi hela ya waifu siangaikagi nayo, nikifulia nakufa na tai shingoni hivo hivo kibishi, humo ndani watafululiza maharage hadi nitakapo-stabilize au atakapojiongeza mwenyewe kuback up.

Sasa vijana wa leo, hela ya mwanamke nayo anaipangia matumizi, eti kusaidiana maisha duuh! Ndo maana wake zenu hawaheshimu mnabaki kulia lia tu. Sasa akuheshimu kwa lipi kama kila kitu mnasaidiana, kwa kumti...a au? Mbona hadi mbuzi wanajua kut...
 
Back
Top Bottom