Huyu mwanaume tutawezana kweli?

Huyu mwanaume tutawezana kweli?

STUKA Mrembo!!!!😱😱😱

Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara

Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo unazo
Sijakaa sawa mjomba ake akaomba laki akatumiwa
Yeye leo ananiambia kanunua cm ya laki 5...

Kinachoniuma anakipato kikubwa lkn hata kidogo changu anataka akijue mapato mpaka matumiz wkt za kwake sijui!!!
 
Ulipendea nini kwake???
 
Embu anza wewe kumnunulia vizawadi afu ndo uje ulalamike.
Kwenye huu uzi hakuna sehemu nimesoma ulishawahi mtumiaji vocha ya jelo.
Ila mshahara wake na bonus unazijua.
 
Huyu anachoitaji ni K ya mtelezo hana nia na wewe achana nae
 
Jiongeze kila kitu kiko wazi na wewe ndo unaishi naye.
 
KWA UFUPI NIKUAMBIE KUWA UFANYE MAISHA YAKO, HUYO SIO MWANAMKE WA KUWA NAE NI VAMPIRE LINANYONYA DAMU TU
 
hamna husband material hapo!!! mwanaume mbinafsi ni mgumu sana kuishi nae piga chini mwanaume sahihi atakuja tu
 
Kweli mapenzi hayashauriki...

Tunasubiria kadi ya mwaliko tafadhali
 
Usiombe ukapata mwanaume mbinafsi asee. Kama huyo asee ,akikupa anaona unafaidi. Loh. Ukiolewa nae, ujue kabisa utaenda kujihudumia mwenyewe kwako. Pole. Ila ukimpata mwanaume ambae sio mchoyo.
Wala hata humuombi anakupa Kila kitu
 
Samahani lakini umesema hataki ujue kipato chake wala matumizi?

Umejuaje anapokea 1.7 mpaka 2M?

Umejuaje amepokea bonus 7k?

Umejuaje anawatumia robo tatu ya mshahara familia yake???

Liko tatizo!!! Tunahitaji na kuusikiliza upande wapili!!

SAMAHANI LAKIN
 
Back
Top Bottom