Huyu mwanaume tutawezana kweli?

Huyu mwanaume tutawezana kweli?

Huyo mwanaume hapana kwakweli, mwambie naweka mtu dukan naenda mkoan kufanya kazi.
Ni bora angekuzuia kufanya kaz km anakuhudumia, jisimamie. Ni mbnafs na anajipnda yy na ndugu zake. Mtu wa ivo n nyoka hta maisha ya ndoa utateseka sana.
Heri kuvunja uchumba kuliko ndoa ya mateso na majuto
 
Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara

Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo unazo
Sijakaa sawa mjomba ake akaomba laki akatumiwa
Yeye leo ananiambia kanunua cm ya laki 5...

Kinachoniuma anakipato kikubwa lkn hata kidogo changu anataka akijue mapato mpaka matumiz wkt za kwake sijui!!!
Mkuu umeichunguza familia yake? kuna watu wamesomeshwa ili waje kulea familia! unapaswa utambue hilo.
Sioni sababu ya wewe kulalamika kwa sababu ushajua matumizi ya pesa zake! Umejiuliza vipi hizo hela angekua anatumia kuhonga? shukuru umepata mtu mwenye busara anaejali alikozaliwa! hata familia yake ataijali ndio maana anakwambia ubajeti hela.
 
sio lazima kuwa na mwanaume,mpotezee,endelea na life lako. huyo jamaa ako ni mbinafsi
 
Huyo hakufai

Mweee jamani huyo baba kanda maalumu nini maana wale nao!

piga chini achana nae, angalia maisha yako

Hapo bado ndoa nanga inapaa hivyo,akikuoa jee??shoga utachundaaa kama nakuona utakavyopalika uwiiii,kuna tabia za kurekebishika na pengine kuvumilika ila tabia ya uchoyo na umimi(ubinafsi)hapana jamanii hazivumiliki na hivi una mtoto tena sio wake ohooo ataumwa huyo atashindwa kumnunulia hata paracetamol,..

Kama unaweza vunja uchumba anza upya kama huwezi basi komaa umzidi kipato na uchumi wako uwe ngangari kwelikweli tena uhakikishe hata ukishuka bado hauwi chini yake.. La sivyo olewa ilaaaa jiandae kisaikolojia,kifizikia,kiakili,kimwili,kiRoho maana nahisi utapelekwa milembe bila kupenda.

Mhhh heri nusu shari kuliko shari nzima yaaani ni bora ukaushia njiani kabla hujajifunga. Ila wadada wakisikia kigezo cha kuolewa huchanganyikiwa sidhani kama utatusikiliza mawazo yetu haya. Mimi naona huyo atakutesaaaaaaà

Akili unayotumia kuwapa watu dawa huwa unaiacha dukani?!...mungu akusaidie next time uende nayo nyumbani itakusaidia sana

Sasa wewe nawe
Ulikubalije mpaka mkafika mbali kiasi hiki na mtu wa aina hiyo?
Whats wrong with your head!

Call off the wedding kama unaona hauta wezana naye. Au kaa naye chini umueleze unategemea nn toka kwake kabla hamja oana, msikilze na yeye anasemaje ukiona haeleweki mwache move on.

Wachana nae huyo.

Kafanya uzembe mwenyewe maana unafikaje mbali na mtu wajati unaona kuna tabia haziko sawa!

HAHAAA HUYO JAMAA NIMSUKULE AISEEEE HAPO UMEPATIKANA ""

BINAFSI MIMI NI MWANAUME LAKINI SIWEZI KUTETEA ROHO MBAYA YA HUYO MUMEO MTARAJIWA AISEEE ...huwa siwezi kumpa mwanamke Pesa hovyo kama akiwa ninfujaji wa hzo Pesa lakini siwezi kumnyima pia pindi anapohitaji kupata vitu vya muhimu ""

but nikiwa na budget ndogo ya Pesa kutoa kidogo nakuwaga mgumu kiasi chake huwa na angalia nashida yenyewe ya muhusika

Achana nae

Achana nad

Chukua hatua stahiki makucha yameonekana usijejuta baadae wakat vitu vilikuwa peupe tyu mmmmmh! Unajua mwenyewe
Acheni kumpotosha, wanawake pesa zao huwa hawataki mwanaume azitumie, kwani tatizo liko wapi la yeye kulipa bill ya umeme na maji mahali ambapo analala yeye na mwanae? Kama ni mimi nikimuoa anaweza ninunulia hadi chupi, mbona sisi tunaawahudumia wao na hatulalamiki? Haki sawa bwana
 
Hapao tatizo ni huyo mtoto tu!!ambaye c wake. Hakuna kipya hapo
 
Acheni kumpotosha, wanawake pesa zao huwa hawataki mwanaume azitumie, kwani tatizo liko wapi la yeye kulipa bill ya umeme na maji mahali ambapo analala yeye na mwanae? Kama ni mimi nikimuoa anaweza ninunulia hadi chupi, mbona sisi tunaawahudumia wao na hatulalamiki? Haki sawa bwana

Marioo
 
naona umekuja kujibu hoja ya mchumba wako ""
aiseee kama ndio huwa unamfnyiaga hivyo mkuu muonee huruma mtoto wawatu
haiwezekani mtu wapata mshahara wa milion nzima then washindwa kumnunulia hata kitenge cha 30k hiyo ni roho mbaya ..sasa mkeo mtarajiwa tu wamfanyia hivyo ..so hali itakuwa ni vipi kwa ndugu zake ??
 
Nahisi wew ni wa zamani mwenye I'd mpya nilishaona post zako za nyuma ukiomba ushauri kama Mara 3 hivi kama sikosei
Pole sana ila Huyo mwanaume ni mbinafsi na ushalijua hilo so wew ni wa kuamua cha kufanya mwenyew uendelee nae au uachane nae
 
Ukiskiaa paa ujue imekukosa!dada mi ni mwanaume nakushauri pita hivi.kama unataka maisha yako yaliyobaki yawe na furaha na amani
 
Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara

Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo unazo
Sijakaa sawa mjomba ake akaomba laki akatumiwa
Yeye leo ananiambia kanunua cm ya laki 5...

Kinachoniuma anakipato kikubwa lkn hata kidogo changu anataka akijue mapato mpaka matumiz wkt za kwake sijui!!!
no huyo hamtawezqba usikubaki kuolewa nae
 
Nahisi wew ni wa zamani mwenye I'd mpya nilishaona post zako za nyuma ukiomba ushauri kama Mara 3 hivi kama sikosei
Pole sana ila Huyo mwanaume ni mbinafsi na ushalijua hilo so wew ni wa kuamua cha kufanya mwenyew uendelee nae au uachane nae
Ni kweli huyu dada tumeshampa ushauri sana id yake siku zote naifahamu, sijui kwann anashindwa kufanya maamuzi sahihi.
 
Bado unamuda wa kufanya maamuzi..kama huo ni uchumba tu mambo ni hvyo..ndoa si itakua balaa sasa..uwiii tabia ni kama ngozi hata ukiichubua rangi halisi kurudi ni lazma..achana nae
 
Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara

Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo unazo
Sijakaa sawa mjomba ake akaomba laki akatumiwa
Yeye leo ananiambia kanunua cm ya laki 5...

Kinachoniuma anakipato kikubwa lkn hata kidogo changu anataka akijue mapato mpaka matumiz wkt za kwake sijui!!!
Achana nae huyo anazingua tu, inawezekana anapenda nyapu yako tu!!
 
Umenikumbusha nilikua na rafiki yangu flan aiseee huyu mtu alikua mchoyo wa chakula sijawahi ona, mwanzo sikumuelewa sababu me sio mpenzi wa kula ila nikaanza kupata malalamiko kutoka kwa rafiki zetu wengine na hata mpenzi wake, sikuamini,
Siku moja alinitolea kituko hichooo siwezi kukihadithia maana yupo humu atajijua.
Nilimchana live na uswahiba uliishia hapo

Babymama follow your Heart but take your Brain with you, if you ask for my advice, "FOR THE SAKE OF YOUR HAPPINESS AND YOUR CHILD, YOU DON'T DESERVE THAT GUY."
 
Dah ....some people are very selfish ...income of 1.7 million and you cant take care of someone you want to marry
Kuna maswal inabidi ujiulize wewe mwenyewe kwamba hio hela yote anaipeleka wapi au kuna mwingine anamtunza huko pembeni, tena hawa ndio wale watakutwisha mzigo wa familia yake kias kwamba hutaweza tena mwisho wa siku kufanya mambo ya maana, yeye atanawiri wewe utakua maybe 30's lakin utaonekana bibi wa miaka 60 ...sasa jiulize hio ndio ndoa unayotaka kuingia ? Jipe jibu then chukua hatua. Mapenzi/mahusiano/ ndoa ni kusaidiana kwa PAMOJA...mwenzio akipata elfu 10 na wewe kama ukipata unaongezea zinakua 20 maisha yanaenda, mmoja amebarikiwa anapata nyingi zaidi basi unafanya kwa ajili yenu nyote, ndivyo smart couples do,
Tena kwa kuongezea tu % kubwa ya hawa hua na domestic violence unakua tortured physically and psychologically,,so kua na msimamo and leave before its too late
 
Back
Top Bottom