Vipi huwa anaongea na mtoto wakoau akikupigia simu anasema msalimie mtoto wetu? Kama hafanyi hayo ..... najiuliza tuu sijasema.Ngoja nikae karibu aiseee ...ha ha ha
Na hayo mapengo afadhali uzibe hilo domoMdomo wangu umebaki wazi kabisaaaaa....[emoji47] [emoji47]
Pole ushaingizwa kingi. Kubaliana tu na yote ndo wako sasa huyo. Hakuna namna.Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara
Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo unazo
Sijakaa sawa mjomba ake akaomba laki akatumiwa
Yeye leo ananiambia kanunua cm ya laki 5...
Kinachoniuma anakipato kikubwa lkn hata kidogo changu anataka akijue mapato mpaka matumiz wkt za kwake sijui!!!
Ameshaona kila kitu na jinsi MTU wake alivyo sasa sijajua nini anataka. Mi Naona avumilie tu aolewe na maisha yatakua hayo hayo. Na akishaolewa tu kipato chake kitakua cha huyo mume. Au amstopishe biashara. Iko wazi sanaNachoweza kusema maisha ya ndoa yanahitaji kujitoa kwa wote wawili na sio ubinafsi wa mtu mmoja, huu ndio wakati wa ufanya maamuzi sahihi usije jutia baadae,
Ndoa ni taasisi nyengine, inahitaji uwe unekubaliana na vyote ndugu yangu kama unaona uhusiano hauko healthy hujachelewa kufanya maamuzi
Kwa hiyo unataka kuhudumiwa au sio.....Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara
Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo unazo
Sijakaa sawa mjomba ake akaomba laki akatumiwa
Yeye leo ananiambia kanunua cm ya laki 5...
Kinachoniuma anakipato kikubwa lkn hata kidogo changu anataka akijue mapato mpaka matumiz wkt za kwake sijui!!!
HB naomba tufunge ndoa ya moyoni [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kazi kweli kweli. Ushauri wa bure Kabisa kama ni mbinafsi ila maendeleo yanaonekana ni vizuri ila kama anafanya hivyo anavyo kufanyia acha nae. Ndoa ya kweli inafungwa moyoni kanisani ni geresha tu
Uzuri wa maisha ya mapenzi kabla ya ndoa ni kua you are free to quit pale tu unaona sio sahihi na haina mlolongo mref sana akivumilia atakuja jutia baadae na ts seems like amechoka tayar she cant take it anymoreAmeshaona kila kitu na jinsi MTU wake alivyo sasa sijajua nini anataka. Mi Naona avumilie tu aolewe na maisha yatakua hayo hayo. Na akishaolewa tu kipato chake kitakua cha huyo mume. Au amstopishe biashara. Iko wazi sana
Eee jaman hahahaNahisi hata mahari alikuambia utoe nusu na yeye atoe nusu si kwaubahili huo.
Dada muacheeee! narudia tena muacheeee! atakutesa.kama sasa hivi ni hivyo akikuweka ndani itakuaje?
Mimi nilishawahi kuwa na dume lahivyo, nikiomba hela lina jibu sina dada yake akiomba anapewa, marafiki sasa wanapata msaada wakutosha.
Kilicho fanya nimuache...... nilimfatilia, pesa zake uwa anapeleka wapi? kumbe bwana alikuwa na lafiki ambae anamlipia luku, anampa hela ya kula kila siku na nirafiki wa kiume huyo, wa kike sasa kila anapo omba anapewa na si mpenzi wake hapo nimarafiki tu siku nilipopata jibu....... nilimtema sikuangalia ninamtoto wala nn.
Eti sasa hivi anajua thaman yangu nikiomba mahitaji ya mtoto fasteeeeeeee..... anatoa! na mm ndo sina mpango nae nimesha pata mwingine. afieee mbeleee uko.
Hakuna kitu kibaya Kama mwanaume selfish..... A selfish Man is a thief........ Akikuoa umekwishaNaomben mawazo yenu kidogo hapa