Huyu mwanaume tutawezana kweli?

Huyu mwanaume tutawezana kweli?

Nahisi hata mahari alikuambia utoe nusu na yeye atoe nusu si kwaubahili huo.

Dada muacheeee! narudia tena muacheeee! atakutesa.kama sasa hivi ni hivyo akikuweka ndani itakuaje?

Mimi nilishawahi kuwa na dume lahivyo, nikiomba hela lina jibu sina dada yake akiomba anapewa, marafiki sasa wanapata msaada wakutosha.

Kilicho fanya nimuache...... nilimfatilia, pesa zake uwa anapeleka wapi? kumbe bwana alikuwa na lafiki ambae anamlipia luku, anampa hela ya kula kila siku na nirafiki wa kiume huyo, wa kike sasa kila anapo omba anapewa na si mpenzi wake hapo nimarafiki tu siku nilipopata jibu....... nilimtema sikuangalia ninamtoto wala nn.

Eti sasa hivi anajua thaman yangu nikiomba mahitaji ya mtoto fasteeeeeeee..... anatoa! na mm ndo sina mpango nae nimesha pata mwingine. afieee mbeleee uko.
 
Mwanamke hujihisi proud pale mwanaume wake anaposimamia show vizuri...

Mwanaume kamili raha yake ipo kumuhudumia mpenziwe tena kwa hiyari pasi kukumbushwa kumbushwa bila kujali ni kwakidogo ama kikubwa..

Mapenzi hunoga kwa wawili kunapokua na furaha, kuelewana na kushirikiana...

Jiongeze mwanamke mwenzangu, hapo mko uchumba tu je mkiwa ndoani hali itakuaje? Dalili yamvua mawingu
 
Naomben mawazo yenu kidogo hapa
Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7
Mi nawaza nitaishije na huyu mtu?
Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m ..ammbapo faida naweza pata lak 270_mpaka 3 kulingana na hali ya kibiashara

Mchumba wangu anafanya kazi ambapo anaweza ingiza kuanzia mil 1.7 mpaka mil 2 kwa mwezi
Mimi na mchumba angu huyu tunaelewana vizuri tu tatizo ni mbinafsi sana
Yaana yeye anataka ajue mapato na matumiz yangu lkn yeye ya kwake hata anishirikishi...
Kibaya ananiambia nisevu hela ili nikiolewa namfata wilaya alipo so niweke mtaji kwa ajir ya kufungua kule duka jingine
Sasa jmn kwa kipato changu hicho kwa mwez napoishi nalipa 60 + 50 chumba cha biashara + bills zote maji umeme sehem 2..... Kula Mimi na mtoto
Maana ninamtoto ambae baba ake alishafariki
sasa kwa matumiz hayo naweza save hela kweli?
Maana yeye hanisaidii kwa chochote hata nikimuomba anisaidie kulipa kodi anadai kwao familia inamtegemea hivyo nisubir amalize majukum ya kwao
Nina mwaka nae lkn hajawai kuninunulia hata nguo...hata kiatu tu cha mtoto wangu hawez
Dec mwaka Jana nilipoteza cm akaniambia kopa sehem nitalipa nikamkoba kaka angu nikanunua cm lkn kila nikimwambia tulipe angalau 50 kila mwez anadai nisubir kwanza imebidi niilipe tu mwenyewe
Juz ananiambia tuanze kutunza hela kila mwez yeye aweke lak 2 Mimi laki 1 kwa ajir ya kununua kiwanja....
Nikamwambia nimepata kaz mkoa mwingine basi nikafanye dukan niweke mtu hataki mi kipato hiki hakinitoshi maana Tayar ninamtoto ambae ananitegemea Mimi hataki nikaajiliwe wkt anisaidii chochote
Yeye hela yake ikiingia robo 3 ya mshahara inaenda kwao na kwa ndugu jamaa na marafiki
Juz alipata bonus kazin kwao kama laki 7 hivi nikamuomba elf 30 tu nikanunue kitenge nishone akasema unavaa nini nguo

Achana nayo huyo mwehu tu.
Ila kama unataka kupata mtoto wa pili kaa naye.
 
Watu wakiwa wanapendana shida kubwa hua kwenye swala la pesa ndo maana wazungu husemaga "this is Africa no true love in Africa" kimsingi anachokitaka huyu dada nk kulelewa yeye na mtoto wake, kulipiwa kodi ya chumba + duka la pharmacy yani huyu dada ni mnafiki anataka afanyiwe vitu ambavyo yeye hataki kuvifanya...
 
Duh huyo mwanaume hana care kabisa,si ajabu mkiwa kwenye ndoa akawa haachi hela ya chakula kwa kigezo cha wewe kuwa na pesa. Ni selfish sana kwa kweli
 
Nahisi hata mahari alikuambia utoe nusu na yeye atoe nusu si kwaubahili huo.

Dada muacheeee! narudia tena muacheeee! atakutesa.kama sasa hivi ni hivyo akikuweka ndani itakuaje?

Mimi nilishawahi kuwa na dume lahivyo, nikiomba hela lina jibu sina dada yake akiomba anapewa, marafiki sasa wanapata msaada wakutosha.

Kilicho fanya nimuache...... nilimfatilia, pesa zake uwa anapeleka wapi? kumbe bwana alikuwa na lafiki ambae anamlipia luku, anampa hela ya kula kila siku na nirafiki wa kiume huyo, wa kike sasa kila anapo omba anapewa na si mpenzi wake hapo nimarafiki tu siku nilipopata jibu....... nilimtema sikuangalia ninamtoto wala nn.

Eti sasa hivi anajua thaman yangu nikiomba mahitaji ya mtoto fasteeeeeeee..... anatoa! na mm ndo sina mpango nae nimesha pata mwingine. afieee mbeleee uko.
Mmmmhhhh!!!!! Mlioona?
 
Umenikumbusha nilikua na rafiki yangu flan aiseee huyu mtu alikua mchoyo wa chakula sijawahi ona, mwanzo sikumuelewa sababu me sio mpenzi wa kula ila nikaanza kupata malalamiko kutoka kwa rafiki zetu wengine na hata mpenzi wake, sikuamini,
Siku moja alinitolea kituko hichooo siwezi kukihadithia maana yupo humu atajijua.
Nilimchana live na uswahiba uliishia hapo

Babymama follow your Heart but take your Brain with you, if you ask for my advice, "FOR THE SAKE OF YOUR HAPPINESS AND YOUR CHILD, YOU DON'T DESERVE THAT GUY."
Mirungi ipo,nikuletee,???hivi bado unamsikiliza Bob Marley?
 
Back
Top Bottom