Huyu mwanaume simuelewi

Translation

Mwanaume kama unajijua ni mweusi,mrefu,una upara(ule wa kunyoa lakini,sio uwaraza) bila kusahau uwe na ndevu jiongeze hapo for them digits

Kipau(o)mbele kitatolewa kwa atakayeomba mchezo mapema zaidi

Tuttyfruity ningekuwa mie ningeendelea kumsubiri nione atamalizaje na mimi,kama aliomba namba huko kwengine ni suala la muda tu....kuwa mvumilivu
Sisi wafupi wenye uwalaza mtatusaidiaje jamani??
 
Bora ya wewe unaweka wazi kabisa kuwa mgegedo ni muhimu. Ila tumia maujanjanya kike bana mpaka jamaa apagawe rahisi kabisa nendeni dancing shake that booty utaufeel tuu mgegedo wake brush against u.
Dancing is the vertical expression of the horizontal desire😜

Nilivoona tu notification na jina lako nikatabasamu i just knew lazma uweke ushauri wa maana. Nitalifanyia kazi 😁
 
Translation

Mwanaume kama unajijua ni mweusi,mrefu,una upara(ule wa kunyoa lakini,sio uwaraza) bila kusahau uwe na ndevu jiongeze hapo for them digits

Kipau(o)mbele kitatolewa kwa atakayeomba mchezo mapema zaidi

Tuttyfruity ningekuwa mie ningeendelea kumsubiri nione atamalizaje na mimi,kama aliomba namba huko kwengine ni suala la muda tu....kuwa mvumilivu

Kwa hiyo sisi wenye uwaraza topic imeishia hapa.
 
Story zako..
Hukuruka ukuta this time..
Niaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada.

Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu. He's TALL DARK BALD HAS A BEARD yani in short he's my type. Nilikua natoka jogging nimechoka nikamkuta kapaki mbele ya geti letu ikabidi nimuulize anamsubiri nani pale akanitajia jina la mtu simjui so I had to tell him huyo mtu haishi hapo. Sasa kama ilivyo ada mkikutana na pisi kali lazma muombe namba chalii akaomba buana mm sina hiyana likija kwenye swala la kutoa digits.

Tumechat tumeonana dates za hapa na pale. Juzi dada ake kanialika dinner nikaenda kula msosi ni mtu poa we had chemistry. Wapo wawili tu wazazi wao walishafariki kitambo.

Sasa tatizo nililolileta kwenu huyu chalii ndani ya wiki zote 4 dates zote kaspend pesa nyingi hajawahi hata kunishika mkono achilia mbali kunikiss. I'm trying to go with the flow lakini ustaarabu karibu unanishinda.

Hivi wadau huyu mtu ni muoga, hajavutiwa na mimi au sio riziki? nashindwa kumuelewa kabisa. Ukizingatia sisi sio under 18.

Mnanishauri nifanye nini should I make the first move au niwe cool?

Anyways atakaeniita mzinifu nampiga. Comment za kijumbe sitaki.

Asubuhi njema Watanzania wenzangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom