Huyu mwanaume simuelewi

Huyu mwanaume simuelewi

Kwani kila mwanaume anaye jaribu kujenge ukaribu na wewe lazima akugegede, acha uzinifu wewe dada. Au fanya kumpa tunda kimasihara aje atiririke kwa uzi wa rickboy.
Hakunaga urafiki wa me na ke
 
Js jipe muda
Never make the first move when it comes to Men

Aliweza kuomba namba ashindwe kuomba mchezo?!
Let him do everything first ili u'prove kweli ana interest/he was not coerced into it
 
Malengo yamepishana hapo, mwanaume anataka mpenzi wa muda mrefu, mwanamke anataka mahusiano ya muda mfupi.

Nilishawahi kuachwa eti kisa nachelewa kuomba mzigo.

Noma sana hizi mambo.
Hawa wanawake wa mjini ni shida sana yani.

Kuna kamoja nimekaelewa ila maskini hakajui kama mie ni baharia...Kananiletea drama balaa ila nimepanga kukamaliza kwa style ya pekee ambayo itakuwa funzo kwake na kwa kizazi chake!

Wacha kale Chocolates, Ice Cream Vanilla na wine za hapa na pale. Ni kabinti kabichi mno!
 
Tuttyfruity nawapenda wanaume wa dizain hiyo ambao papuchi kwao siyo kipaumbele.
Stick to that man dada acha ujinga 😆 ama unapendelea wale washirika wa Rikiboy?
Hahahahah mie ni kama huyo anaelalamikiwa sema tofauti zetu ni kwamba mie lengo lazma niliseme on the 2nd date. Kisha nakuacha ujiongeze sasa.
 
Hawa wanawake wa mjini ni shida sana yani. Kuna kamoja nimekapenda ila maskini hakajui kama mie ni baharia...Kananiletea drama balaa ila nimepanga kukamaliza kwa style ya pekee ambayo itakuwa funzo kwake na kwa kizazi chake!

Wacha kale Chocolates, Ice Cream Vanilla na wine za hapa na pale. Ni kabinti kabichi mno!
Mjumbe kama mjumbe naona unaelekea kuchomoa betri na kukata umeme kwa pamoja😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom