Huyu mwanaume ni balaa......

Iyo ndo unaskia vodacom wanasema KAZI NIKWAKO....!! siku nyingine akijamba mwambie acha usenge, hato rudia tena, trust me!
<br />
<br />
unawafahamu wanaume wa Kikurya lakini?
 
acheni utoto nyie binadamu.....................
haya mambo ya kujadili issue za ujambaji yanatokea wapi tena....
WAKATI MWINGINE UMRI NAO UTUSUTE KIDOGO KUJADILI MAMBO YASO NA TIJA...........................


we bacha ;jambo ili lina tija tena kubwa
cz dada anataka kussetle lakin kujamba na kukoroma kunamtishia aman
minaona kuna tija.....au wewe ndo wale wale mkilala km mashne inasaga?
msaidien jaman....

afu kujamba jamba kwa mwanaume si poa....wasichana wenzako wanakucheka aahh bfrend wake uyu anajamba uyo...mwshow atasema ahh ni m.ssssssssseng...
 
hilo jamaa usikute mkasi halikati mpaka lishikwe nyuma,kwa nini linajamba hovyo!
 

hivi huyu ni mzungu.............................................ninakumbuka huko nyuma ulituuma sikio ulivyokuwa ukimsaka mzungu kwa udi na uvumba................kujambajamba.............................hivyo ni vyakula tu..................chunguza ala nini na vibadilishwe na kuachana na vinavyozalisha gesi nyingi kama maharagwe, karanga maziwa na proteni kupita kipimo...................apunguze kuapakia na anywe maji mengi.............kama mashine yake umeridhia huo ni mwanzo swafi mwanangu...............mambo ya pesa ni kiini macho tu...........awe nazo au la yote sawa tu ila kibali ni roho yake umeiafiki............................kukoroma nako kunatokana na jinsi anavyolala.............kama anala...................ipo aina ya chupa aweze kulala ikiwa imefurika mdomni na kamwe hata koroma........................................lakini weye ulipotelea wapi iko siku mingi sioni makala yako humu jukwaani.................
 
acheni utoto nyie binadamu.....................haya mambo ya kujadili issue za ujambaji yanatokea wapi tena....wakati mwingine umri nao utusute kidogo kujadili mambo yaso na tija...........................
sio ujambaji ni ujamazi!!!!!!!!!!
 

kubwa hapa ni kuwa umegundua matatizo haya huwakumba baada ya mechi..........ambayo awali ulitutahadhaharisha yakuwa ni murua.........................au kwa lugha nyingine...................mambo ni motomoto.............sasa jawabu lake ni kuacha mechi kabisa.............halafu kukoroma, kujambajamba hadharani...........................ingawaje kualala fofofo kama baada ya kususia mechi kutajitokeza........................itabidi ufuate mfano wa MJJ ambaye yeye alikuwa anatumia propofor tu kupata usingizi.........................ninyi itabidi propofor yenu awepo nesi wa kuwaangalia msije makapitilizia kwenda kuzimuni...............................na huku kwetu watasema siku zenu zilifika kwa sababu polisi wetu ni wavivu kufikiri na kuchunguza kilichowaua kabla ya siku zenu............
 
Aisee umeniacha hoi na hiyo avatar yako, back to topic Nazjaz angalia jamaa asije kuwa punga sasa misuli ishaachia anashindwa kujizuia wakati wa kujamba, kukoroma sio issue kivile
 
nazzjaz unachekesha kama sio kufurahisha, hicho chombo kimeshakuwa shemeji tayari? unao wangapi ww?? suala la mapenzi haliangii pesa nk hakuna mtu mwenye kupewa kila kitu kila mtu ana kasoro zake hata ww unazo ndio hizo za kuparamia kifaa kipya kila wakati chunga usije ukajikwaa.
 
ukiona anajamba mchape kibao
mkilala na akianza tu kukoroma uwe unamstuastua, na kila siku mchemshie maji ya moto anywe kupunguza mafuta.
 
akijamba na kukoroma ndio anapata nguvu za kupiga show.
 
ana tatizo la misuli kulegea, Mwambie awe anafanya mazoezi ya kuchuchumaa na kuinuka sphincta muscles zitakaza ataweza kucontrol vijampo! Pia aiswe anatumia vyoo vya kukaa kwani hufanya misuli ya ****** kulegea!
 
huu ni msimu wa mavuno ya mahindi MAGUNZI yamejaa tele yatumie km KIZIBIO cha KIJAMBIO
 
NASJAZ lazma ana matatizo makubwa sana au kakulia Dodoma
 


chupa gan iyo?
 
Hakijamba nawe msubili hakiwa yupo sawa nawe mjambie uone hatakwambiaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…