Huyu mwanaume ni balaa......

Huyu mwanaume ni balaa......

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,202
Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.
Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani, marafiki zake ama marafiki zangu, hili naona liko nje ya control yake. Je nimsaidieje shemeji yenu na kumwacha sitaki hata kidogo?
 
Surgery....I don't know about farting,turn the fan on...or the a/c....If he's really taping that,you will be the first one to go to sleep and farts are not that noisy!!
 
Hahaha! Ukipenda boga yakhe! Kukoroma na kujamba ki2 gani bhana! Wengne wanakutana na watu wananuka kuanzia mdomo mpaka kwenye....na wanavumilia. Hzo ndo kasoro zake, mvumilie!
 
Mkapate ushauri kutoka kwa mtaalamu wa afya, inaeza ikasaidia kupata ufumbuzi wa tatizo lakukoroma,
 
Kukoroma nouma, inasumbua kwani u can't sleep! Kufart si issue kama ukiweza kulala, lkn kwa vile huwezi, tafuta pad za sikuoni huwenda itasaidia kdg!

I know one guy from south, aliamua kutooa kwa ajili hiyo! Akienda kwa watu anafunga hammock nje ya nyumba ndio analala!

Du pole sana!
 
mmmh! Kujamba hata mbele za watu,duuh tena kwa sauti? Kaz unayo dada angu,bt co ishu kama anakupiga mti fresh mbona haina tatizo hyo
 
Hahahahaah,.... umeanza kumsifia vizuri sana!
lakini ulipomalizia umenimaliza nguvuu!
 
Akiacha kukoroma na kujamba uwezo wa mechi vingine utaisha, vumilia tu. Kila binadam ana udhaifu wake
 
kuna vizibo vinauzwa unamziba mdomo wakati wa kulala,hata mkitoka out pia unamzima anapotolea hela!!!!nunua kuepuka fedheha!!
 
Surgery....I don't know about farting,turn the fan on...or the a/c....If he's really taping that,you will be the first one to go to sleep and farts are not that noisy!!

Topic haina kizungu kobe,unaonaje ukiacha ulimbukeni na uchangie kwa
lugha mama?
 
acheni utoto nyie binadamu.....................
haya mambo ya kujadili issue za ujambaji yanatokea wapi tena....
WAKATI MWINGINE UMRI NAO UTUSUTE KIDOGO KUJADILI MAMBO YASO NA TIJA...........................
 
acheni utoto nyie binadamu.....................
haya mambo ya kujadili issue za ujambaji yanatokea wapi tena....
WAKATI MWINGINE UMRI NAO UTUSUTE KIDOGO KUJADILI MAMBO YASO NA TIJA...........................

Wacha we,....
ukikua unaacha kunyamba?
 
hahaa hahaa dahh nimecheka!!!!!
pole sana dah kitu inajamba kwenda mbele?
nat azijaachia lakin?

kukoroma apo ndo pbm..mwombe mwnde hosptal


na wewe nawe kwa kushabikia mambo yaso na mashiko...........?
haya bana........ushakula kiporo chako lakini?
angalia na wewe usiachie exozi............................!!!!!!!!!!!!!
 
Wacha we,....
ukikua unaacha kunyamba?

kweli siku zote wa mbili havai moja.................
sasa huko kujamba weye umekutolea macho, kwani kipi cha ajabu hapo?
weye hujambi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom