[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] [emoji57] bahati hyo hupati kamweee...ha ha ha ngoja nkutafutie siku nkukope tena mkopo huu nii zaid ya bodi ya mikopo utalipia mpaka hotelii
Supu ulikunywa lakini?Hz comment zenu imebidi nicheke tu
Unatoa risiti za EFD lakini? Labda ndo maana aliogopa kukupa pesa..Hz comment zenu imebidi nicheke tu
DUME SURUALIMie ni mwanaume aisee ila huyu mwenzetu kazidi na hastahili kabisa kumilik mwanamke, kwa nijuavyo mimi na ndivyo ilivyo ni kuwa mwanamke anahitji kutunzwa mno na pia kupewa kipaumbele hasa kwa masuala ya matumizi kwakuwa wanawake wanahitaji kujiremba na kukipamba kila kiungo chao na ndo inavyotakiwa..Dada yangu naomba umpige chini huyo dume suruali haraka sna
ha ha ha ha naanza na swaga za mishkak lazma upigwe mkopo tena huo nakuja na wadhamin kabisaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] [emoji57] bahati hyo hupati kamweee...
ushindwe na ulegeeeee!!!
Hapo nilipo bold na jina la mleta madaHaha that's a one cold boy child. Hakuna mapenzi hapo, atakuwa anapita tu.
Hela ya gesti ametoa nani??Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!
Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".
Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
Akikupa hela ndio anakupenda???...basi kama ni hivyo wanaojiuza wale wanapendwa na wanaume wengi..maana wanapewa pesa na kila mwanaume anayewahitaji.Mwanaume asipokupa hela hakupendi kabisa...
Mbona umefurahi hivyo? umuonei mwenzako huruma [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahahahaha mbavu zangu miyeeee