likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,091
KUMBE ULIZALISHWA NA MWINGNE. HKO NDYO KIINI
Morning...Tatizo liko kwako, wala humpendi unaogopa umri wako kwenda. Huna malengo nae wala ndo maana walalama, halafu kuna baba mtoto anatunza mwana yaani hapo ni kizungumkuti!!!
Usimgande mtu sababu ya umri wako, utajuta. Mwenyewe labda keshakusoma ndo maana ya yote hayo
ShkamoMorning...
Marhaba Sakayo Dada yangu...Shkamo
Mie sijambo, unaendeleajeMarhaba Sakayo Dada yangu...
yaaani nikiona tuu meseji yako hata kama naendesha naegesha gari pembeni na kuijibu....
huwa simu yangu inanipa message notification za JF,Linkedin&FB,
So nikona tuu ya Sakayo fasta naegesha gari na kuijibu haraka...
nipo Aiseee nikaribishe basi huko....
Pole ndugu...ushauri wangu ungemwambia tuu ukweli kama ulivyofunguka hapamh, kweli hii ngumu kumeza
siko vizuri rafiki ujue...nnaumwaMie sijambo, unaendeleaje
Napita mie wasije kusikia wapenda kitonga[emoji1384]Hahahaaa!! Wanaume siku hizi wamekuwa mafurushi si kidogo.
Waumwa nini tena jamani??siko vizuri rafiki ujue...nnaumwa
mwili tuu wa moto na nasikia baridi Pia...Waumwa nini tena jamani??
Haya mawazo ya kale! Kuna MTU asiye na mahitaji? Achana kusex u have sisters or mother hawana mahitaji? Sembuse mwanamke unayelalanae!
Mmhmwili tuu wa moto na nasikia baridi Pia...
ngoja niende...sitaki kufwa nitakukosa ujueee....Mmh
Si homa hiyo rafiki??? Nenda hospital hebu,au unataka ukufwe
Mkuu kufukunyia nyuzi zake za nyuma unakuwa umemsaidiaje kwa mfanoJan 20, 2017;
Huyu mwanaume ananipenda kweli?
Aug 4, 2017;
Huyu mwanaume simwelewi kabisa
Sep 19, 2017;
Wapi nitapata dawa hii ya kuongeza 'shepu'?
July 31, 2015;
Je, nitakuwa nimemuharibu mtoto?
Sasa kichaka cha nini ilihali wote humu wachangiaji wa mada hakuna aliyewahi kuishi na mwenzakeSwadakta!!wamepata kichaka cha kujifichia!Baeleze baelewe
Pole mwayangoja niende...sitaki kufwa nitakukosa ujueee....
Ahsante nilikuwa naisubiria hii pole....sasa napata na ka nguvu kidogo...umenipa Amani na ahueni ujue....kumbe una faraja sana wewe...usiwe unakaa mbali na mimi jamani...Pole mwaya