Huyu mwanaume ananichanganya sana

Tatizo liko kwako, wala humpendi unaogopa umri wako kwenda. Huna malengo nae wala ndo maana walalama, halafu kuna baba mtoto anatunza mwana yaani hapo ni kizungumkuti!!!

Usimgande mtu sababu ya umri wako, utajuta. Mwenyewe labda keshakusoma ndo maana ya yote hayo
 
Kama unaweza kujihudumia kwanini utake pesa ya kupewa? Sidhani kama anakula chakula cha gharama kubwa kiasi kwamba anakutia hasara. Kama kweli wampenda endelea naye ukiwa umeshajipanga kisaikolojia kwamba unapaswa kuendelea kujihudumia na si kuhudumiwa na huyo mchumba wako.

Ukiona vyema mpe hiyo sh.40,000/= ila siyo lazima maana ni pesa yako na una hiari ya kumpa au kumnyima.
Ndiyo maana nikauliza hivi kuna wanawake hawawezi kuishi kwa raha bila kula pesa ya wanaume.

Huyu anafanya biashara kwanini asim-shit huyo kidume kisha akaendelea na maisha yake?
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Aiseee
shem bhana, yaan umeandika ukamali?
zungumza zungumza bhana akuelewe ujue hata mimi sijaelewa vzr
 
Tatizo liko kwako, wala humpendi unaogopa umri wako kwenda. Huna malengo nae wala ndo maana walalama, halafu kuna baba mtoto anatunza mwana yaani hapo ni kizungumkuti!!!

Usimgande mtu sababu ya umri wako, utajuta. Mwenyewe labda keshakusoma ndo maana ya yote hayo
na wakikusoma hawa viumbe utaisoma namba

duuuh
 
Mkazie usimpe hata mia. unyumba mpe kwa taadhali asikuzalishe mtoto mwingine kabla ya ndoa. Naona kama ameona mtelemko na anatafuta sababu akuache. kuhusu chakula uanze kumpikia ugari tembele kila akija akihoji mwambie kesho ukija pitia buchani.
 
Aiseee
shem bhana, yaan umeandika ukamali?
zungumza zungumza bhana akuelewe ujue hata mimi sijaelewa vzr
Shem ukamali ndiyo nini nami umeniacha niambie kisha nami nitakuambia.
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Sasa unakuwa na huyo mwanaume wa nini!! Si bora uwe mwenyewe tu lijulikane moja.
 
Hahahaaa!! Wanaume siku hizi wamekuwa mafurushi si kidogo.
Sio mafurushi kwa jinsia zote kuna mifurushi sio wanawake na wala sio wanaume.

Huyu jamaa kweli anamlalia kwenye kula lakini cha kushangaza mdada anampiga vita na uwezo wa kujihudumia anao. Sasa anabaki naye wa nini ?
 
Akili yake IPO chini kama bei ya chumvi! Haaa mwanamke ni matunzo, sio anajua kushusha presha tu! Hivyo afanyavyo anakuonyesha picha ya mbali huko muendako! Utajikuta unanenepesha shetani wakati kiti anakonda! Si bora usote kivyako ten una mtoto wa kulea!
 
Back
Top Bottom