Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyu mwanaume ananichanganya sana

Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Hapana mwanaume wa kweli lazima atoea pesa bila hata kuombwa,,kuna vitu inabidi kujali,,mbona pesa zinawauma hivyo?
Huyo mkaka hamfai kabisa ,,pesa anakula mwanamke mwingine huko
 
Na huyo boya ana kazi ya salary ya milioni anaomba elfu 40 kama sio upuuz ni nini , mwenzie anashinda dukani had 4 usiku, yeye hizo milioni zake anaazifanyia nini...na kuhusu sex sio kwamba ni malipo, point yake ni kwamba jamaa linawaza chini tu likija, kula kulala, aoneshe basi responsibility as a real MAN ..hauji hata na sukari ama mkate wa chai asubuhi, au hata chumvi tu ya 500 ...
Huo ni ujinga kiwango cha lami...bora hata kama angekua hana kazi ama shuhul yoyote ningesema wanasaidiana ,
kama vipi aende tu kwa mzaz mwenzie waliezaa nae mtoto
Jamaa ni mpuuzi ila anayemlea ndiye hajiamini kama anaweza kuishi bila yeye.

Kuna wanawake wakiona wanaume wanawalalia wanaamsha wanaangalia mbele.
 
Hapana mwanaume wa kweli lazima atoea pesa bila hata kuombwa,,kuna vitu inabidi kujali,,mbona pesa zinawauma hivyo?
Huyo mkaka hamfai kabisa ,,pesa anakula mwanamke mwingine huko
Ngoja nikuulize swali dogo ..... Ni aheri kuishi ukamlea mwanaume asiyechangia chochote tena kwako au ni aheri upigane mwenyewe na mwanao ukijua wewe ndiye mkombozi wa maisha yako ?
 
Dada nikuambie bora ubaki na hiyo miaka yako 30,huyo kaka akikuoa utakoma ,,kama mtu anashindwa kujiongeza mwanzo atabadilikaje?mwanaume ambae hajali wala hajiongezi wa nini,,tafyta mwingine,we unataka kuolewa ili kufurahisha jamii uonekane nawe umeolewa ehehe
 
Yani una duka bado unalalamika huudumiwi unataka nini wewew shukuruu mungu ulichonacho wengine hawana/hawalalamiki h na bado wanaish vyema na waume wao yani kuwa na mwanaume basi unataka uhudumiwe kila kitu pole
 
Bora nipigane mwenyewe tu,,tena kama hanipi kitu nataka **** tu tukutane hotel huko agharamike kisha najirudia kwangu marufuku kuja kwangu
Sasa kinachomfanya huyu amlee mwanaume asiyechangia chochote nini? Kwangu naona haamini kama anaweza kuishi bila msaada wa huyu mwanaume ndiyo maana analalamika amchangie.

Silaha ya binadamu yeyote ni kuamini anaweza kuishi bila msaada wa mtu ukiondoa utegemezi wa asili tulio nao.
 
Kuna kitu kimoja ambacho kinakugharimu na kitazidi kukugharimu kama usipobadilisha huo mtizamo wako....hata atokee dangote bado atakuzingua tu in one way or another....dada yangu HHAMNA WATU WASIOELEWEKA KAMA MWANAUME AKIJUA UNATAKA KUOLEWA...vituko utavyofanyiwa utatamani kuokoka haitawezekana,
Kulinga na nyuzi zako kadhaa watu walizofukua uko na hamu kuliko kawaida kutaka kuolewa na ndo kinachokutesa hapo,,,badilisha huo mtazamo...ishi maisha yako jipende na fanya kazi.....atakuja mtu,atavutiwa na ulivyo na unavyoishi miezi sita mingi ataomba akuoe
Hapo ulipo unaishi maisha ya kuigiza ndo maana unaogopa hata kumuambia huyo jamaa hisia zako juu ya usichokipenda yes unaigiza unafaa kuolewa na huyo kaka alijua na anajua unachotaka ndo maana mtego wake ni kukuambia nitakuoa
Na inawezekana hata umpendi unataka tu ndoa....
Na nakwambia hivyo ataweza akakuoa na kukuoa akaona ni HISANI tu kwako kwa kuwa unashida then mzigo wote wa maisha juu yako....
Wewe ndo unajijua na kumjua huyo mwanaume kuliko yoyote hapa..kaa ji evaluate kama unampenda mwambie a_z,then kama habadiliki uamuzi ni wako kulibeba au kulibwaga.
Ila kama unaona humpendi ni ndoa tu unataka....my dear itakugharimu maisha yako yooote yaliyobakia duniani....
Achana na huo mtizamo wa kutaka ndoa kuliko oxygen...itakuja tu...ishi maisha yako ya halisi
 
Usilazimishe kuolewa, huyo jamaa ameshakuona unapenda sana kuolewa, siku hizi kuolewa ni majaaliwa, kaa Chini Fanya biasharaza na panga pajeti zako ishi bila kuwaza kuolewa, ukiona hiyo jamaa anakusumbua piga Chini, utakuja kuolewa kama umepangiwa na Mungu.
 
Achana nae.
Hamuendani.

Yeye anadhani anavyokuja kwako na kula, kupiga vitu na kulala; yote ni mapenzi yako tu. Wewe ni unaona anakunyonya.
Kwa kuwa mitazamo inatofautiana hapo, hamtakaa muelewane.
 
Ahsante nilikuwa naisubiria hii pole....sasa napata na ka nguvu kidogo...umenipa Amani na ahueni ujue....kumbe una faraja sana wewe...usiwe unakaa mbali na mimi jamani...
Usijali kabisa
 
Sasa kinachomfanya huyu amlee mwanaume asiyechangia chochote nini? Kwangu naona haamini kama anaweza kuishi bila msaada wa huyu mwanaume ndiyo maana analalamika amchangie.

Silaha ya binadamu yeyote ni kuamini anaweza kuishi bila msaada wa mtu ukiondoa utegemezi wa asili tulio nao.
Hapana yeye anawaza akiolewa je ataweza hudumia familia?
Yaan mwanaume anakula kwa mwanamke kabisa bure ,,mim hata usingizi hautakuja aisee bora nilale mwenyewe tu,tukutane hoteli
Uwezo wa kujitegemea anao ila ,sie hatujaumbwa kuhudumia wanaume
Cc titimunda unasemaje hapa?
 
Labda ana familia tayar nyingine, sasa mshahara wote huwo anakula Peke yake mchunguze mmmh, to cyo Kwa uchoyo huwo, hapo ndoa hamna posa na mahali ataweza kweli kutoa maana bahili sana,
 
Hapana yeye anawaza akiolewa je ataweza hudumia familia?
Yaan mwanaume anakula kwa mwanamke kabisa bure ,,mim hata usingizi hautakuja aisee bora nilale mwenyewe tu,tukutane hoteli
Uwezo wa kujitegemea anao ila ,sie hatujaumbwa kuhudumia wanaume
Cc titimunda unasemaje hapa?
Eti usingizi hautakuja.

Mwanamke ukiona anaishi na mwanaume anayemhudumia basi asilimia kubwa huyo mdada ndiye anayemhitaji huyo mwanaume.

Kiasili sisi ndiyo tunawashawishi muishi na sisi. Sasa inapotokea mwanamke ukawa unatumia pesa yako kumshawishi mwanamme aendelee kuwa na wewe ... Inabidi uvumilie maana umeyataka mwenyewe.
 
Hapo umesemaaa,,huyo kaka hana mapenzi kabisa anasubiria meli airport
Niambie wikiendi leo wapi sasa?
 
Hapo umesemaaa,,huyo kaka hana mapenzi kabisa anasubiria meli airport
Niambie wikiendi leo wapi sasa?
Twende kwa huyu dada nasi tukapate mbili tatu [emoji1] [emoji125] [emoji125]
 
Hana mpango na ww, na hyo 30z inayokutisha utaishia kupata lijitu la ajbu kisa unakimbizana na umri. Just relax achan na jambaz huyo
 
Ila ww mwenyew unamlea, kupata mwanaume anayejua majukumu yake kwa mpenz wake n 2 kwa 10. Dawa n kuomba tu wala usione aibu maana ni wako
 
Back
Top Bottom