Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyu mwanaume ananichanganya sana

Hujue nyie wanawake bado MNA fikra za kikorono mkiambiwa mbaki nyumban mpike mnasema MNA baguliwa kijinsia kwan wewe ulisha wahi mnunulia nini kwakuwa nawe unakipato kizuri au ukinunuliwa wewe ndo mapenzi yananoga kama hakuridhishi sema lakin kama nawe wapata raha mnunulie nawe atakununulia mnaambia nendeni mkajenge fimilia lakin kila kitu anafanya mmoja kama hamuwezi KaZi na mpangilio wa ela bakin nyumban mpike
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Fikra za mkolon bado zina waendesha wakati wanadai 50/50
 
hivi kuna wanaume kabisa wanaachia wanawake zao elfu 5 kwa kweli.... halafu mamen mna masihara
 
Comment bora ya wiki hiii ktk Uzi husika.

Nilitaka kucomment hivi hivi.. ..[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda niongezeee tu na ukichelewa kufanya maamuzi na Ukimwi unakuitaaa.

Ova
Asante Mkuu
 
Mueleze ukwlii asipo badilika achana nae maana anaweza akawa ajua yupo saw Kumbe haujamwambia
 
Chukua maamzi magumu mama huyo sio mwanaume na kwa tafakar ya haraka haraka nshajua n mtu kabila gn na hao n wavivu sana wanaume hao na sio watafutaji
 
Du pole itabidi tuonane nikushauri face to face
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Na huyo boya ana kazi ya salary ya milioni anaomba elfu 40 kama sio upuuz ni nini , mwenzie anashinda dukani had 4 usiku, yeye hizo milioni zake anaazifanyia nini...na kuhusu sex sio kwamba ni malipo, point yake ni kwamba jamaa linawaza chini tu likija, kula kulala, aoneshe basi responsibility as a real MAN ..hauji hata na sukari ama mkate wa chai asubuhi, au hata chumvi tu ya 500 ...
Huo ni ujinga kiwango cha lami...bora hata kama angekua hana kazi ama shuhul yoyote ningesema wanasaidiana ,
kama vipi aende tu kwa mzaz mwenzie waliezaa nae mtoto
 
huyu mwanaume kanichosha kabisa Sijui tu nifanyeje nimpenz tumeahidiana kuoana anavyodai by DEC tuanze process za kutambulishana nyumban japo ndugu zake au wazazi wake naongea nao kwenye cm so wanafaham mtoto wao anamchumba japo hawajaniona

Kinachonikela kwa mchumba wangu huyu hana akil ya kujiongeza....Mimi ninaduka lina mtaji kama mil 2 au 1.5 hivi so kwa mwez naweza pata faida kama ya lak 4 ....mwenzangu anafanya kaz katika kampun flan anamshahara mzuri tu kuanzia million hv....
Tatizo la mtu wangu hajui mwanamke anahitaji hiki wala hiki.....Mimi sina tabia ya kumuomba hela hua nampa Uhuru tu anipe yeye atakayoona kama mwanamke naitaji matumiz gani..
Ajabu hawez jiongeza kabisa anaweza akaja kwangu akala akalala akaondoka asubuh haachi hata hela ya matumiz au akaja akashinda akala akalala akaondoka bila hata kujali chochote...
Yaan nakuta najigharamia kilakitu kuanzia,, kodi, bills zote, mafuta ya kupaka,,saloon,, nguo kula yaan kila kitu....
Kuna kipindi nilijaribu kuongea nae akasema OK sory akawa akija kulala asubuh anacha elf 5 ya matumiz ilienda kama siku 3 hv akaacha...napata uchungu Mimi ninamtoto nilizaa na mwanaume mwingine hua anatoa hela ya matumiz ya mtoto...unakuta mzazi mwenzangu akinitumia hela nanunua vyakula naweka ndani tunatumia na huyu mchumba wangu moyo wangu unauma nashindwa niamue nini naogopa kumpoteza maana umri umeenda Nina 30yrs..
Napata uchungu kuona nahangaika kutafuta maisha nakaa Dukan kuanzia asubuh mpaka SAA NNE sina msaada wowote yeye akija niku sex tu asubuh akaondoka na anaweza akafululiza hata siku 4 kila siku anakuja kulala na anisaidii chochote
Sasa Jana kaniombia anashida nimtafutie elf 40 mshahara ukitoka atanirudishia nimemwambia sina akadai tafuta tunza kila siku elf 10 katika biashara yako jpil unipe mshahara ukitoka nitakurudishia......bado nawaza hata hanionei huruma???
Naomben ushauri ndugu zangu
Huo mzigo dada
 
Toa ushauri acha kufukua makaburi

Ukisoma hizo thread utakuta alishaandika thread zingine za namna hiyo hiyo, na most likely watu wanatoa ushauri kama waliotoa kipindi kile.

Swali linakuja, je baada ya kushauriwa mara ya kwanza alichukua hatua gani? Na vipi mara ya pili alichukua hatua gani?

Tuna uhakika gani kwamba sasa hivi tukimshauri atafanyia kazi huo ushauri wakati tulishamshauri huko nyuma bila mafanikio? Kwa nini nguvu hizi za kushauri tusizipeleke kwa wahitaji na watakaofanyia kazi?
 
Huyo jamaa hajui majukumu yake kama mume basi unigee mini hiyo nafasi nitimize wajibu wangu hakika utapata raha
 
Anakutumia tu huyo kwa faida zake. Mshahara wa mwezi gani huo anaozungumzia? jana ni tar 3 na leo ni tar 4 mshahara wa Oct kapeleka wapi?
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Mwanaume hajakuoa anakula analala huyo ni Mario piga chini ukiolewa nae ndo utazidi kuumia bora kuwa cngo kushinda mwanaume wa hivyo
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.

Well said mkuu
 
Back
Top Bottom