dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,809
- 61,674
Wanawake ule chake utatangazwa hadi kwa Mungu.Ahahahah we toka hapa,nataka nile pesa zako bana
Owk mkuu,labda hakuridhika na majibuHapo kuna nyuzi mbili ameulizia kitu hiko hiko. Huoni kama ni tatizo?
U said wellShida yenu ,, mnatoa miili yenu kama rehen pekeee ya ndoa .
Mwanamke wakitanzania Leo hiii ili ajitengenezee mazingira ya ndoa mpaka akupe K ....matokeo yake unaishia kupigwa mashine kwa * tumain hewa*.
Dada yangu ,,Mimi nimwanamme ,, Nakushauri hili ,,,, Embu tengeneza pesa ,,,na furaha .... Lea mtoto wako Mungu atakuletea mwanamme.
Hiz mambo za kujiumiza eti tu unahofia umri matokeo yake utakua mpotezaji. Sasa itakuaje jamàa akija kukipiga chini ????? Sindo utakufa.
KILA SIKU NAWAMBIA ,,KAMA MWANAMME ANAKUIGIZIA MAISHA KAMA VILE NI SINGO ,,,,BASI NAWW MPE MAISHA KAMA VILE U MJANE!!..
tupo ktk dunia ambayo wenye nguvu na pesa ndio wanatunha sheria ambazo weee mdhaifu namasikin utalazimika kuishi kwazo.
NGOJA SASA NIKUPE KA STORI KAMOJA KA SISI WANAUME .
Mwanamme nikiumbe mjanja sana hasa anapokua hana malengo naww lkn bado anakuitaji km Pumziko LA nyege zake.
Mwanamme asokua namalengo kwako Mara nyingi nimgumu kukutunza nakukujali ,,, wala hana muda namtoto wako..yeye hata mwanao akiwa anaumwa ,yupo tayar kukulazimisha umpe uchi ,, naunaposhindwa kufanya ivo atakugombeza sana naanaweza kutishia kukuacha.
Mwanamme huyu sababu anajua kukutunza nisawa nakupoteza Mara nyingi anakua mjanja sana ... Atakua makini ktk kushika umakini wako ili ujue anakujali ,,MF...kila Sikh atakuambia ** Baby umekunywa chai??? Jitahidi unywe mama yangu .,,,baby zamchana ,umeshimdaje na mtoto usisahau kula chakula cha mchana na matunda ....,, baby habar zausiku ,, umeshakula mpenzi ,,namtoto anaendeleaje ??? Kula ushibe mpenzi....*
Alafu anendelea ,,,* ila baby nmekumis sana kesho nakuja nikutombemo*.
Sasa wewe naujinga wako vile vimeseji vya mshikaji vya kukujulia hali ,,bimekuchanganya ,,unaona huyu ndo mwanamme ,,kweli jamaa kesho anakuja anakutomba .huyoooooo.
SASA KWAUFUPI NIIVI KUNA WANAUME HUWA WANATAKA WAJIRIDHISHE MIILI YAO KWA GHARAMA ZA MWANAMKE MWENYEWE YAAAN WEEE UNAJIGARAMIA LKN YEYE ANATAKA K TU.
embu changamka ,,,, Fanya maisha ,Fanya pesa uwe nafuraha ....mwanamme mjanja alafu hana malengo naww wann???? Kwann uumie ivo ????.
NB...KAMA WEWE NIMWANAMME UPO NAMWANAMKE WAWATU ANAMTOTO AU HANA ,, KILA SIKU UNAMMWAGIA SHAHAWA LKN HUJUI ANAKULA NN ,,ANAFULIA NN ,,, WEWE NIJIPU NA ****** TUUUU TUUU ,HAUNA TOFAUTI NA MWANAMKE . .
UNAPENDA UTELEZI ALAFU HUJUI KUUTUNZA ??????????.
Yaan utajuta,wanawake mioyo yetu anajua alietuumba tuWanawake ule chake utatangazwa hadi kwa Mungu.
Anatakiwa ajiongeze mwenyeweUmemwambia ajiongeze..?
Wengine hawajui kujiongeza... lazima umuonyeshe kimtindo...Anatakiwa ajiongeze mwenyewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]desa la chuo limekaba
Duuuh Kabanga bhana wapen bas leson hata huku kwenye mtandao. I hate mtu ambae hajui majukumu yakeWengine hawajui kujiongeza... lazima umuonyeshe kimtindo...
Nawe jitahidi kimtindo japo uanze na vitu vya kawaida.....Duuuh Kabanga bhana wapen bas leson hata huku kwenye mtandao. I hate mtu ambae hajui majukumu yake
Kaka umeandika ni hapa mnataka mkopo? Actually hatuuzi lakini mwanaume asiye jiongeza ni mzigo wa Choo ,sijawahi kupata lakini naskia kachafukwa hapa anakuja 4days hachangii chochote tungekula hotel kuanzia breakfast [emoji16] [emoji16]Swali la utangulizi:
Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?
Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Sisy hapo huyo bishost haamini kama anaweza kuishi bila msaada wa huyo mwanaume. Ndiyo maana nikauuliza kuna wanawake kwao hawawezi kuishi bila kufikiria pesa za mwanaume...Kaka umeandika ni hapa mnataka mkopo? Actually hatuuzi lakini mwanaume asiye jiongeza ni mzigo wa Choo ,sijawahi kupata lakini naskia kachafukwa hapa anakuja 4days hachangii chochote tungekula hotel kuanzia breakfast [emoji16] [emoji16]
Mfukua makaburi lolJan 20, 2017;
Huyu mwanaume ananipenda kweli?
Aug 4, 2017;
Huyu mwanaume simwelewi kabisa
Sep 19, 2017;
Wapi nitapata dawa hii ya kuongeza 'shepu'?
July 31, 2015;
Je, nitakuwa nimemuharibu mtoto?
Alafu kinachomponza ni stress za kuolewa[emoji23] [emoji23] 30 ndo inampa pressure etii,,,Sisy hapo huyo bishost haamini kama anaweza kuishi bila msaada wa huyo mwanaume. Ndiyo maana nikauuliza kuna wanawake kwao hawawezi kuishi bila kufikiria pesa za mwanaume...
Huyu anatakiwa am-shit afocus kwenye maisha yake tena uzuri biashara zinamuingizia kidogo cha kuweka mdomoni.
Ila huenda stori siyo ya kweli fuatilia nyuzi zake za nyuma.Alafu kinachomponza ni stress za kuolewa[emoji23] [emoji23] 30 ndo inampa pressure etii,,,