Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyu mwanaume ananichanganya sana

kwani kuolewa lazima? kutakakujizeesha tu na stress
 
Dawa yake tafuta cku muondolee uvivu mueleze jinc hupedwezi na tabia yke na mambo yote anayofanya yaco kupendeza na akupe mpango wa maisha yenu ya mbele uko vp
 
Back
Top Bottom