Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyu mwanaume ananichanganya sana

tatizo lako ule upendo wa zamani umepotea umeingiza pepo la pesa ndo linakutafuna
 
dah wanawake ambao umri wenu umeenda mnapata shda sana ndoa zinawatesa
mtu hajui hata kukuhudumia uko nae kisa ndoa huyo mkioana jua utalea familia peke yako
Kweli kabisa , naona umri ukisonga unakuwa threat kabisaaa
Mungu awape ufahamu[emoji8]
 
Huyo mwanaume hajakuoa bado soo anakuja kwako kama mgen but mara nne ni nyingi sana jaribu kumcontroll.
*swala kugharimikia wanawake ambao hujaoa ni ushamba na ujinga, Tafuta zako mama usitarajie kupokea hela ya mwanaume na wala usipigie hesabu mshahara wa mwanaume asie mume wako.
Swala la huyo kula na kula kwako bila kutoa hela ni kawaida bcz najua wanawake mkienda kwa wanaume wenu hamchangiaji. Lets be 50/50 na mambo yataenda.
Mbona kama ni wewe? Uwe unachangia bhana wewe wa kiume[emoji38] [emoji12]
 
Kwa miaka uliyonayo ni wa kuolewa. Labda tu usichoke mkumbushe kuwa maisha ni kusaidiana na unahitaji mchango wake. Kuhusu kuja kila siku, naona Dogo amekupenda, ni mambo machache ya kurekebisha. Itafika mahali atatop up kitu hata dukani. Briefly umeuliza kitu cha Msingi, utaachana na wangapi? Tulia nae, ongea nae, hiyo 40000 mpe, wala usijali atakuwa mtu mwema. Good day
Mm nina wasiwasi kaombwa na girl wake hiyo 40 halafu anataka demu amlipie gemu[emoji12]
 
Kama kweli una miaka 30 basi unahitaji maombi maalum! Yaani umri wote huo hujatambua tu kuwa umeingia mkenge!!! Hapo hakuna ndoa kuna ndoano na huyo lazima atakuwa tu ni mpare au ana asili ya upareni!!! Acha uoga wa kitoto mpe kibuti endelea na maisha yako
 
huyu mwanaume kanichosha kabisa Sijui tu nifanyeje nimpenz tumeahidiana kuoana anavyodai by DEC tuanze process za kutambulishana nyumban japo ndugu zake au wazazi wake naongea nao kwenye cm so wanafaham mtoto wao anamchumba japo hawajaniona

Kinachonikela kwa mchumba wangu huyu hana akil ya kujiongeza....Mimi ninaduka lina mtaji kama mil 2 au 1.5 hivi so kwa mwez naweza pata faida kama ya lak 4 ....mwenzangu anafanya kaz katika kampun flan anamshahara mzuri tu kuanzia million hv....
Tatizo la mtu wangu hajui mwanamke anahitaji hiki wala hiki.....Mimi sina tabia ya kumuomba hela hua nampa Uhuru tu anipe yeye atakayoona kama mwanamke naitaji matumiz gani..
Ajabu hawez jiongeza kabisa anaweza akaja kwangu akala akalala akaondoka asubuh haachi hata hela ya matumiz au akaja akashinda akala akalala akaondoka bila hata kujali chochote...
Yaan nakuta najigharamia kilakitu kuanzia,, kodi, bills zote, mafuta ya kupaka,,saloon,, nguo kula yaan kila kitu....
Kuna kipindi nilijaribu kuongea nae akasema OK sory akawa akija kulala asubuh anacha elf 5 ya matumiz ilienda kama siku 3 hv akaacha...napata uchungu Mimi ninamtoto nilizaa na mwanaume mwingine hua anatoa hela ya matumiz ya mtoto...unakuta mzazi mwenzangu akinitumia hela nanunua vyakula naweka ndani tunatumia na huyu mchumba wangu moyo wangu unauma nashindwa niamue nini naogopa kumpoteza maana umri umeenda Nina 30yrs..
Napata uchungu kuona nahangaika kutafuta maisha nakaa Dukan kuanzia asubuh mpaka SAA NNE sina msaada wowote yeye akija niku sex tu asubuh akaondoka na anaweza akafululiza hata siku 4 kila siku anakuja kulala na anisaidii chochote
Sasa Jana kaniombia anashida nimtafutie elf 40 mshahara ukitoka atanirudishia nimemwambia sina akadai tafuta tunza kila siku elf 10 katika biashara yako jpil unipe mshahara ukitoka nitakurudishia......bado nawaza hata hanionei huruma???
Naomben ushauri ndugu zangu
Chuma ulete unawajua kama uwajui bx n uyo mchumba wako
 
Mwanaume mashine au pesa?
 
Wangapi wana hudumia na bado wana chapiwa dada yangu?
Nyie hamna formula.
Ndo maana uwa tunaamua. Kuchapa kisela. Unaweza ukahudumiwa na bado ukasaliti.
Uwa simuamini mwanamke.
Japo siwezi kuishi bila mwanamke.
Mkuu uko sahihi hawa mademu ni wakula kisela tuu...Hamna haja ya kuhudumia watu wasiojielewa
 
Shida yenu ,, mnatoa miili yenu kama rehen pekeee ya ndoa .

Mwanamke wakitanzania Leo hiii ili ajitengenezee mazingira ya ndoa mpaka akupe K ....matokeo yake unaishia kupigwa mashine kwa * tumain hewa*.

Dada yangu ,,Mimi nimwanamme ,, Nakushauri hili ,,,, Embu tengeneza pesa ,,,na furaha .... Lea mtoto wako Mungu atakuletea mwanamme.

Hiz mambo za kujiumiza eti tu unahofia umri matokeo yake utakua mpotezaji. Sasa itakuaje jamàa akija kukipiga chini ????? Sindo utakufa.

KILA SIKU NAWAMBIA ,,KAMA MWANAMME ANAKUIGIZIA MAISHA KAMA VILE NI SINGO ,,,,BASI NAWW MPE MAISHA KAMA VILE U MJANE!!..

tupo ktk dunia ambayo wenye nguvu na pesa ndio wanatunha sheria ambazo weee mdhaifu namasikin utalazimika kuishi kwazo.

NGOJA SASA NIKUPE KA STORI KAMOJA KA SISI WANAUME .

Mwanamme nikiumbe mjanja sana hasa anapokua hana malengo naww lkn bado anakuitaji km Pumziko LA nyege zake.

Mwanamme asokua namalengo kwako Mara nyingi nimgumu kukutunza nakukujali ,,, wala hana muda namtoto wako..yeye hata mwanao akiwa anaumwa ,yupo tayar kukulazimisha umpe uchi ,, naunaposhindwa kufanya ivo atakugombeza sana naanaweza kutishia kukuacha.

Mwanamme huyu sababu anajua kukutunza nisawa nakupoteza Mara nyingi anakua mjanja sana ... Atakua makini ktk kushika umakini wako ili ujue anakujali ,,MF...kila Sikh atakuambia ** Baby umekunywa chai??? Jitahidi unywe mama yangu .,,,baby zamchana ,umeshimdaje na mtoto usisahau kula chakula cha mchana na matunda ....,, baby habar zausiku ,, umeshakula mpenzi ,,namtoto anaendeleaje ??? Kula ushibe mpenzi....*

Alafu anendelea ,,,* ila baby nmekumis sana kesho nakuja nikutombemo*.

Sasa wewe naujinga wako vile vimeseji vya mshikaji vya kukujulia hali ,,bimekuchanganya ,,unaona huyu ndo mwanamme ,,kweli jamaa kesho anakuja anakutomba .huyoooooo.

SASA KWAUFUPI NIIVI KUNA WANAUME HUWA WANATAKA WAJIRIDHISHE MIILI YAO KWA GHARAMA ZA MWANAMKE MWENYEWE YAAAN WEEE UNAJIGARAMIA LKN YEYE ANATAKA K TU.

embu changamka ,,,, Fanya maisha ,Fanya pesa uwe nafuraha ....mwanamme mjanja alafu hana malengo naww wann???? Kwann uumie ivo ????.

NB...KAMA WEWE NIMWANAMME UPO NAMWANAMKE WAWATU ANAMTOTO AU HANA ,, KILA SIKU UNAMMWAGIA SHAHAWA LKN HUJUI ANAKULA NN ,,ANAFULIA NN ,,, WEWE NIJIPU NA MSENGE TUUUU TUUU ,HAUNA TOFAUTI NA MWANAMKE . .

UNAPENDA UTELEZI ALAFU HUJUI KUUTUNZA ??????????.
 
Back
Top Bottom