Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyu mwanaume ananichanganya sana

huyu mwanaume kanichosha kabisa Sijui tu nifanyeje nimpenz tumeahidiana kuoana anavyodai by DEC tuanze process za kutambulishana nyumban japo ndugu zake au wazazi wake naongea nao kwenye cm so wanafaham mtoto wao anamchumba japo hawajaniona

Kinachonikela kwa mchumba wangu huyu hana akil ya kujiongeza....Mimi ninaduka lina mtaji kama mil 2 au 1.5 hivi so kwa mwez naweza pata faida kama ya lak 4 ....mwenzangu anafanya kaz katika kampun flan anamshahara mzuri tu kuanzia million hv....
Tatizo la mtu wangu hajui mwanamke anahitaji hiki wala hiki.....Mimi sina tabia ya kumuomba hela hua nampa Uhuru tu anipe yeye atakayoona kama mwanamke naitaji matumiz gani..
Ajabu hawez jiongeza kabisa anaweza akaja kwangu akala akalala akaondoka asubuh haachi hata hela ya matumiz au akaja akashinda akala akalala akaondoka bila hata kujali chochote...
Yaan nakuta najigharamia kilakitu kuanzia,, kodi, bills zote, mafuta ya kupaka,,saloon,, nguo kula yaan kila kitu....
Kuna kipindi nilijaribu kuongea nae akasema OK sory akawa akija kulala asubuh anacha elf 5 ya matumiz ilienda kama siku 3 hv akaacha...napata uchungu Mimi ninamtoto nilizaa na mwanaume mwingine hua anatoa hela ya matumiz ya mtoto...unakuta mzazi mwenzangu akinitumia hela nanunua vyakula naweka ndani tunatumia na huyu mchumba wangu moyo wangu unauma nashindwa niamue nini naogopa kumpoteza maana umri umeenda Nina 30yrs..
Napata uchungu kuona nahangaika kutafuta maisha nakaa Dukan kuanzia asubuh mpaka SAA NNE sina msaada wowote yeye akija niku sex tu asubuh akaondoka na anaweza akafululiza hata siku 4 kila siku anakuja kulala na anisaidii chochote
Sasa Jana kaniombia anashida nimtafutie elf 40 mshahara ukitoka atanirudishia nimemwambia sina akadai tafuta tunza kila siku elf 10 katika biashara yako jpil unipe mshahara ukitoka nitakurudishia......bado nawaza hata hanionei huruma???
Naomben ushauri ndugu zangu
Najua upo dar. Maana wanaume wa Dar hawataki kazi
 
Hata kupatikana hapatikani.... Hongereni kama ni mambo mazuri yanakuja
Mazuri kabisa kuwa tu mpole
utaambiwa kila step shem, kumbuka katika boma wanakutegemea ujue
 
So what makes him a man then? Kama mahitaji hatoi? Anajua kupiga paipu tu! Being a man is not easy! Nimegundua "Free Pumbu mpo wengi".
Mwanamke. Anayetaka kumtegemea mwanaume. Huyo hajiamini.
Na hafai kuwa mke. Tatizo mmelemazwa na tamaduni zenu. Kwamba mwanaume lazma akupe HeLa.
Mimi nitakupa mfano nilikuwa na demu. Hata siku moja hajawahi. Kuniomba hela. Ali kuwa anafanya kazi. Huyu demu Ali kuwa anajiamini Sana. Na Ali kuwa anajua Mimi simbabaishi kwa chochote maana Ana kazi yake. Hata siku nikisema niachane nae yeye kwake POA..
Ukiwa unajitegemea mwanaume hawezi kukuletea dharau za kijinga hata siku moja.
Matunzo anatakiwa akupe. Lakini isiwe ndo asipo kupa unanuna.
Sasa si una kazi. Kwa nini ulilie kupewa?
 
Madem wa siku izz wajioe wenyewe sisi tutaoa madem masalia wale wanaojielewa,, haya masistet du unalitokea ulitongoze unakuta liko bize na headphone au lina chart , sasa mtaolewa na smartphone zenu .....k...u. ....m....a . Zenu
 
Kumbuka mpenzi hakopeshwi mama. Sio kwa mterezo huo. Muulize pengine anajengs nyumba mkae mkioana
 
Mwanamke. Anayetaka kumtegemea mwanaume. Huyo hajiamini.
Na hafai kuwa mke. Tatizo mmelemazwa na tamaduni zenu. Kwamba mwanaume lazma akupe HeLa.
Mimi nitakupa mfano nilikuwa na demu. Hata siku moja hajawahi. Kuniomba hela. Ali kuwa anafanya kazi. Huyu demu Ali kuwa anajiamini Sana. Na Ali kuwa anajua Mimi simbabaishi kwa chochote maana Ana kazi yake. Hata siku nikisema niachane nae yeye kwake POA..
Ukiwa unajitegemea mwanaume hawezi kukuletea dharau za kijinga hata siku moja.
Matunzo anatakiwa akupe. Lakini isiwe ndo asipo kupa unanuna.
Sasa si una kazi. Kwa nini ulilie kupewa?
Uliza wazee wako mwanaume ni nini? Kama una mwanamke na huhudumii ujue Yupo anae hudumia Hlf wewe wan Ku charity tu!
Am also working but my man has to take some responsibilities on me! Yaan kama una hizo itikadi utakuj kujinyonga siku moja!
 
Wangapi wana hudumia na bado wana chapiwa dada yangu?
Nyie hamna formula.
Ndo maana uwa tunaamua. Kuchapa kisela. Unaweza ukahudumiwa na bado ukasaliti.
Uwa simuamini mwanamke.
Japo siwezi kuishi bila mwanamke.
 
Mwanamke. Anayetaka kumtegemea mwanaume. Huyo hajiamini.
Na hafai kuwa mke. Tatizo mmelemazwa na tamaduni zenu. Kwamba mwanaume lazma akupe HeLa.
Mimi nitakupa mfano nilikuwa na demu. Hata siku moja hajawahi. Kuniomba hela. Ali kuwa anafanya kazi. Huyu demu Ali kuwa anajiamini Sana. Na Ali kuwa anajua Mimi simbabaishi kwa chochote maana Ana kazi yake. Hata siku nikisema niachane nae yeye kwake POA..
Ukiwa unajitegemea mwanaume hawezi kukuletea dharau za kijinga hata siku moja.
Matunzo anatakiwa akupe. Lakini isiwe ndo asipo kupa unanuna.
Sasa si una kazi. Kwa nini ulilie kupewa?
Karibia tukaribiane kuhusu hili....

Mwanamke anatakiwa awe na ndoto zake nje ya mwanamme. Ajiamini na aamini hata pasipo mwanaume anaweza kusongesha maisha yake hii haina maana kutokuishi vizuri na mwanaume mzuri kama wakikutana.

Na mwanamke akiwa hivi akipata mwanaume akaona haeleweki anafocus na mambo yake anamwacha.
 
Dada hapo ndio unaambiwa 'dalili za mvua ni mawingu'. Uamuzi wako sasa.
 
Umetegwa kidogo tu unakuja jamii forum kusaka makungwi na he mkioana he? Itakuwaje
 
Madem wa siku izz wajioe wenyewe sisi tutaoa madem masalia wale wanaojielewa,, haya masistet du unalitokea ulitongoze unakuta liko bize na headphone au lina chart , sasa mtaolewa na smartphone zenu .....k...u. ....m....a . Zenu
Duh! Wewe nae umekuja kivingine aisee.
 
Back
Top Bottom