Huyu mwanaume ananichanganya sana

Haa ha ha ha...Yanii kama manzi unampaa vizuri jua ni mwanzoni tuu maana Wanawake huwa hawahitaji sana Ngonoo.. so kuna kipindi inabidi usimame kama Mwanaume kwenye mahitaji..Hapo ndo wengi huwa tunafail...
On point rikiboy wangi hudhan paipu ndio kila kitu ndio maana unaona tunafanya double allocation of love! Hata mapenzi yanataka upeo sio kugeuza geuza vistyle unabanika mbuzi.
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Yani mwanaume mzima, aenda kwenye geto la mwanamke, anakula analala asubuhi anaamka anakung'uta pmb anasepa na bado aomba kukopeshwa hela, aah ***** zake!!!!!
Majukumu yake nani amfanyie?
 
Halafu hiyo tabia ya kutetemekea ndoa hutufanya tuonekane wajinga kweeli, na wanaume hutumia sababu hiyo kukula wanawake. Aache kabisa huo upuuzi amlee mwanae, mwanaume wa kuoa sio huyoo
Kuna wanawake bila ndoa kwao ni kama hawajakamilika, mtu yuko radhi afuge mtu mzima mwenzie kisa tu kaahidiwa ndoa. Sasa ngoja aendelee kushoboka na ndoa atakapoojikuta analea watoto mwenyewe akili itamkaa sawa.
 
Yani mwanaume mzima, aenda kwenye geto la mwanamke, anakula analala asubuhi anaamka anaking'uta pmb anasepa na bado aomba kukopeshwa hela, aah ***** zake!!!!!
Majukumu yake nani amfanyie?
Yaani hata haya hana!!
 
natamani wanawake wote tungekuwa na huu mtazamo khaaa ukajikute unalea litoto la mwenzio kisa umri!!
Huyo mwanaume anaujua udhaifu wa huyu bi dada, anajua kuwa anahitaji sana ndoa ndio maana anafanya hivo....
Utakuta huko ana kitoto kipya namba D anahudumia tu (na nakumbuka huyu dada alishamfuma na kabinti wala mwanaume hakushtuka).
Ndio maisha aliyoyachagua lakini, acha awaoneshe tu walimwengu kuwa nae anaolewa wakati hana furaha
 
Yani mwanaume mzima, aenda kwenye geto la mwanamke, anakula analala asubuhi anaamka anaking'uta pmb anasepa na bado aomba kukopeshwa hela, aah ***** zake!!!!!
Majukumu yake nani amfanyie?
Ukutee anamkopaa huyoo mdada ili akamuhongeee manzi mwinginee..!! Yanii mdada akipendaa shidaa sanaa
 
Yani mwanaume mzima, aenda kwenye geto la mwanamke, anakula analala asubuhi anaamka anaking'uta pmb anasepa na bado aomba kukopeshwa hela, aah ***** zake!!!!!
Majukumu yake nani amfanyie?
Nimeenda mbele nikauliza ni kweli kuna wanawake hawawezi kuishi bila pesa ya mwanaume??

Huyu mwanamke hawezi kuishi akam-shit akajisimamia mwenyewe ? Mbona wanawake tunawaona mitaani wanasongesha maisha wenyewe baada ya kuona wanalaliwa na wanaume.

Huyu dada anamhitaji huyo mwanaume zaidi ya anvyohitajika yeye. Kikubwa aamini anaweza kuishi yeye kama yeye kitu ambcho baadhi ya wanawake hawaamini
 
Kuna wanawake bila ndoa kwao ni kama hawajakamilika, mtu yuko radhi afuge mtu mzima mwenzie kisa tu kaahidiwa ndoa. Sasa ngoja aendelee kushoboka na ndoa atakapoojikuta analea watoto mwenyewe akili itamkaa sawa.
Apambane na khali yake tuu, kusoma hajui, hata picha jamanii
 
Back
Top Bottom