najikuta nacheka kama mazuri jamanBaada ya kilio kuisha ndio tukaanza kumjadili huyo alopiga simu, kuna watu wana ujasiri humu duniani acha kabisa auntie yangu.
najikuta nacheka kama mazuri jamanBaada ya kilio kuisha ndio tukaanza kumjadili huyo alopiga simu, kuna watu wana ujasiri humu duniani acha kabisa auntie yangu.
Mzee mrema alishasema WANAWAKE WA TANZANIA MNA UCHUMI ILA MMEUKALIA ila hakumaanisha utakayofikiria.kunywa loshoro hapo ulipo ya baridiiiiii
hapo umenena kabisa, hakuna haja ya kujiumiza
loooh
Kuna mahali inatakiwa tujue kuwa ndoa ni zaidi ya tuwazavyo, na sie tumezidi kutetemekea hizo ndoa jamanii, imagine baba mtoto amlishe mwanaume mwingine???? Haoni hata aibu kusimulia aki huyu bidada ni changamoto.hizo fursa nazo sio ishu, maana hata kama wewe ni mwanaume unamtumia mwanamke vile ni ujinga tu
una proove unaweza kuwa mwanamke ungewezeshwaaa
NB:naona aibu mie wanaume wa hivi
Ukishaona dume 35+ bado halijaoa na halina muelekeo wala hajitambui haki hilo ni furushi unapaswa kujiepusha nalo kama ukoma!!!anakufanya vicoba ghafla hahahah, wanaume saivi wengi wanapenda mteremko. ila kulea libaba la 36 midevu imemkomaaa si bora ujiuwoya
Yaani acha tu, ile siku nilicheka acha kabisa wakati natakiwa kumpa mtu pole.najikuta nacheka kama mazuri jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukishaona dume 35+ bado halijaoa na halina muelekeo wala hajitambui haki hilo ni furushi unapaswa kujiepusha nalo kama ukoma!!!
Wooi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kuolewa asikuoe au akuoe we ndio ubebe majukumu ya ubaba
ukweli mtupu ni shida mnooooUkishaona dume 35+ bado halijaoa na halina muelekeo wala hajitambui haki hilo ni furushi unapaswa kujiepusha nalo kama ukoma!!!
Mzee mrema alishasema WANAWAKE WA TANZANIA MNA UCHUMI ILA MMEUKALIA ila hakumaanisha utakayofikiria.[/QUOTE,
nimekusoma aisee, ila hata kwa wanaume siku hizi uchumi mnao ila mmeukalia tu
NB: Sikumaanisha utakachofikiria
Auntie wewe wachunguze tu wa umri huo ambao bado wapo wapo utaniambia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda anaogopa ndoa itaota mabawa, ana hamu sana ya kuolewaUjue wanaume huwa tunataka makavu maana kuja kulala nila kuacha pesa lazima niwe na aibu sana, mpe ukweli huyo mwanaume mwambie unakuja kulala hapa unakula hutaki kuacha pesa ya matumizi basi ishia huko ambapo utapata vya bure. full stop usikubali akaja kulala tena hapo kwako sio mstaarabu huyo ni mlevi kwanza anatakiwa akueleze matumizi ya mshahara wake kama kweli ni mwema kwako
yaaani acha tu, huyu bidada nae kazidiKuna mahali inatakiwa tujue kuwa ndoa ni zaidi ya tuwazavyo, na sie tumezidi kutetemekea hizo ndoa jamanii, imagine baba mtoto amlishe mwanaume mwingine???? Haoni hata aibu kusimulia aki huyu bidada ni changamoto.
Ahahahah auntie nimecheka sana na ambao wamewowa jeAuntie wewe wachunguze tu wa umri huo ambao bado wapo wapo utaniambia.
yaan kabanwa na majukumu, ujue kuna mambo mazito yako hapo mbeleni lazima ajipangeHahaha[emoji109] [emoji109] chalii umemficha wapi?
% kubwa wanajielewa.Ahahahah auntie nimecheka sana na ambao wamewowa je
Hata kupatikana hapatikani.... Hongereni kama ni mambo mazuri yanakujayaan kabanwa na majukumu, ujue kuna mambo mazito yako hapo mbeleni lazima ajipange
NB: usiwaze sana utajua tu siku si nyingi