Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,949
- 183,431
Kwakweli tena hata hakikukopi kile.unaanzaje kuchacha kwanza! kulea zigo si bora ya kile cha plastik
Kwakweli tena hata hakikukopi kile.unaanzaje kuchacha kwanza! kulea zigo si bora ya kile cha plastik
Ahahhaha auntie nimecheka sana jaman kama mazuri na hilo lijanamke lililopiga simu halina aibu kwahiyo wanaishi kwa style hiyoAuntie nilicheka hiyo siku huku mwenzangu analia. Nikamwambia "msiba wa kujitakia hauna kilio,naona unazo nyingi nipe na mimi".
Wamjini Wanasema kutumia fursayaani omba Mungu jinsia yeyote, awe wa kike au kiume ajue una usongo na kitu fulani kutoka kwake
utaisoma namba ambayo iliyofutika sijui utafanyeje
Kusema ukweli nachukia sana hali hii na Mungu atusaidie
Yani usiku anapewa uno asubuhi anapewa hela mwanaume ana dhambi huyu!!!!Te he he he! Hata mtukufu alisema maisha magumu tusicheke na wajinga! Hapo unakuta amekupigisha kwata usiku kucha tena anakula kama kesho harudi! na Maini umepika! Anaondoka anaacha buku 5 chaaaa MAMBO YAKULA KUKU NA KULIPA NG'OMBE siyawezi unless I give him for charity!
Hahahaaaa! Furushi langu leo zamu yake kupika.Wapi sasa au na wewe unaenda kulipikia furushi lako???
Utakuta hiyo 40 nae kaombwa huko ha ha hauwiii na umekaa hapo unauliza wanaJF?! ebu mtafutie mwenzio hiyo shilingi elfu arubaini jumapili akajiachie na kabinti hahahhaha jamani wanawake wengine mnatia hasira
Shem,kwa nini tujitegemee na mpoooo, kama hampo tunaweza ila kama mpo pls mjiongeze
loooh uanaume nao kazi eti ndo maana mliambiwa mtakula kwa jasho
teh teh
hizo fursa nazo sio ishu, maana hata kama wewe ni mwanaume unamtumia mwanamke vile ni ujinga tuWamjini Wanasema kutumia fursa
Kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si bora aiache iliwe na nyenyere
Baada ya kilio kuisha ndio tukaanza kumjadili huyo alopiga simu, kuna watu wana ujasiri humu duniani acha kabisa auntie yangu.Ahahhaha auntie nimecheka sana jaman kama mazuri na hilo lijanamke lililopiga simu halina aibu kwahiyo wanaishi kwa style hiyo
True!!!!Hawapendi majukumu wanaume wa siku hizi
anakufanya vicoba ghafla hahahah, wanaume saivi wengi wanapenda mteremko. ila kulea libaba la 36 midevu imemkomaaa si bora ujiuwoyaSijui hata shida ni nini kwakweli, tena gia yao ni hiyo hiyo ya kukopa!! Ukijichanganya tu imekula kwako.
kunywa loshoro hapo ulipo ya baridiiiiiiShem,
Mwanaume ni binadamu kama binadamu wengine... Tuna mapungufu yetu na kasoro kibao.
Kasoro yangu ni tofauti na ya mwingine. Kikubwa ni wewe mwanamke kumsoma mwanamme kama haeleweki usikae umhudumie tu unam-shit unatafuta mwingine ukishindwa kupata basi kaa ujihudumie mwenyewe maana unaweza.
Haha...Hahahaaaa! Furushi langu leo zamu yake kupika.
hahahahaha na ndo hvyo hvyo ye imemuuma kaona bwege lake lipoUtakuta hiyo 40 nae kaombwa huko ha ha ha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]True!!!!
Wanaume siku hizi hawataki kabisa majukumu, yani mwanaume anaweza kuvuta mdomo siku nzima,anazunguka mdomo umekua kama wa bata kisa kaombwa hela ya mboga.... Fuken
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kuolewa asikuoe au akuoe we ndio ubebe majukumu ya ubabaKabisa
Iote na kutu kuliko kujidanganya ati ataolewa
AhahhahahaBaada ya kilio kuisha ndio tukaanza kumjadili huyo alopiga simu, kuna watu wana ujasiri humu duniani acha kabisa auntie yangu.