Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyu mwanaume ananichanganya sana

Kama hii kitu ni kweli basi tatizo kubwa ni kwa huyu dada kutojiamini. Na hakuna kitu kibaya dunia hii kama kutojiamini.

So that being the case hako kavulana (Nakaita kavulana coz hakajui majukumu yake na bado hataki hata kuzugu being a gentleman) kanatumia huo mwanya wa kutojiamini kumtesa mdada wa watu.

Huyu dada nae kwa uoga wa kutojiamini kila jamaa akija anapewa chakula na papuchi juu daaah..

Dada kwa faida ya laki 4 kwa mwezi usihangaikie na hawa wavulana wasiojua thamani ya mwanamke. Mwache aende zake.

KUOA/KUOLEWA NI MUHIMU LAKINI SIO LAZIMA (IT'S A NECESSARY THING BUT NOT A MUST) .

Mbona Yesu mwenyewe hakuwa na mwanamke wa dem?
 
Karibia tukaribiane kuhusu hili....

Mwanamke anatakiwa awe na ndoto zake nje ya mwanamme. Ajiamini na aamini hata pasipo mwanaume anaweza kusongesha maisha yake hii haina maana kutokuishi vizuri na mwanaume mzuri kama wakikutana.

Na mwanamke akiwa hivi akipata mwanaume akaona haeleweki anafocus na mambo yake anamwacha.
Acha tu. Nilijuta kuwa na mwanamke mwenye kazi.

Maana Ali kuwa anafanya anavyotaka na umwambii kitu.

Ila akikupenda utafurahi. Na akikuchoka Ana kumwaga fasta wala hajali.
 
Hii haina tofauti na
ec501b961f5b3380e55dcb423826d7e1.jpg
 
Huyo ni chuma ulete,sio mwanaume wa kuolewa nae huyo,achana nae atakusumbua! Huo ni uchumba tu je ndoa itakuaje,funguka we dada fanya yako.
 
Mweleze ukweli asipobadilika achana nae.
Hakuna haja ya kumweleza kwani yeye hajui mahitaji ya mwanamke? Huyo yuko kimaslahi zaidi,pesa yake anafanyia maendeleo,huyo ni changuchangu,chako chetu.sio mtu mzuri kwa maisha huyo.
 
Wangapi wana hudumia na bado wana chapiwa dada yangu?
Nyie hamna formula.
Ndo maana uwa tunaamua. Kuchapa kisela. Unaweza ukahudumiwa na bado ukasaliti.
Uwa simuamini mwanamke.
Japo siwezi kuishi bila mwanamke.
Kwani Biblia ilivypsema ishini na wake zenu kwa akili ulidhani walimaanisha nini?
Tuna formula to know that u must be a real man! Ukiwa mwanaume nusu huwezi ijua! Oooh and the way u play is the same u are played! Its called fair game!
Ask for wisdom!
 
Kwani Biblia ilivypsema ishini na wake zenu kwa akili ulidhani walimaanisha nini?
Tuna formula to know that u must be a real man! Ukiwa mwanaume nusu huwezi ijua! Oooh and the way u play is the same u are played! Its called fair game!
Ask for wisdom!
Dada angu mapenzi ni kama ubia kwenye kampuni.
Mwanamke ukiwa na kazi una asimia 50. Katika mapenzi.

Usipokuwa na kazi uta kuwa na asilimia 10. Katika mapenzi.

Kama unaona mbia wako hawajibiki kwanini. Kwanini usichukue asilimia zako 50. Ukaondoka.
Ukiona unang'ang'ania. jua umempenda.
Kama umeanzisha mahusiano ili akuhudumie na hakuhudimii. Chukua chako mapema
Ila kama umeanzisha mahusiano kwa kumpenda endelea kuwa nae japo hakuhudumii.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Huo ni mzigo wa begani piga chini haraka sana.

Halafu ukimaliza kufanya hivyo njoo kwangu nikupe pumziko na amani ya moyo wako
 
ssa je mshahara wake anatumia kujiedeleza kimaisha au hata hujui...
pengine anatumia advantage wewe kutomuomba pesa anaona poa tu maana unamhudumia bila zengwe...
 
dah wanawake ambao umri wenu umeenda mnapata shda sana ndoa zinawatesa
mtu hajui hata kukuhudumia uko nae kisa ndoa huyo mkioana jua utalea familia peke yako
 
Huyo mwanaume hajakuoa bado soo anakuja kwako kama mgen but mara nne ni nyingi sana jaribu kumcontroll.
*swala kugharimikia wanawake ambao hujaoa ni ushamba na ujinga, Tafuta zako mama usitarajie kupokea hela ya mwanaume na wala usipigie hesabu mshahara wa mwanaume asie mume wako.
Swala la huyo kula na kula kwako bila kutoa hela ni kawaida bcz najua wanawake mkienda kwa wanaume wenu hamchangiaji. Lets be 50/50 na mambo yataenda.
 
Kwa miaka uliyonayo ni wa kuolewa. Labda tu usichoke mkumbushe kuwa maisha ni kusaidiana na unahitaji mchango wake. Kuhusu kuja kila siku, naona Dogo amekupenda, ni mambo machache ya kurekebisha. Itafika mahali atatop up kitu hata dukani. Briefly umeuliza kitu cha Msingi, utaachana na wangapi? Tulia nae, ongea nae, hiyo 40000 mpe, wala usijali atakuwa mtu mwema. Good day
 
Pole sana. Subiri uzalishwe mtoto wa pili na kuachwa ndipo akili yako itakaa sawa sawa.
Comment bora ya wiki hiii ktk Uzi husika.

Nilitaka kucomment hivi hivi.. ..[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda niongezeee tu na ukichelewa kufanya maamuzi na Ukimwi unakuitaaa.

Ova
 
Back
Top Bottom