Huyu mwanaume ana roho ngumu

Huyu mwanaume ana roho ngumu

Mambo ya kuachiana nguo ya kizamani kinoma...
 
kwa hiyo umejoin kwa ajili ya kulalamika kuhusu sweta
 
Grace umeamua kuleta huku, anyway ukweli natafuta namna ya kukwambia sikutaki maana nimekuonyesha kwa vitendo huelewi
 
Sasa unajijua unakaa makambako kilichokufanya uende dukani bila kuvaa plover ni nini?
 
Yaani ndio kwanza MLUPO tu, una ngebe kama umekatwa VAT isiokuhusu! Je, ungekuwa mke!
 
hatufanani
Kumbe jibu lipo , au ulitaka huyo mwanaume apigwe na baridi
Wanawake wana masweta , vikoyi , khanga , mitandiyo
Yani vyooote hivyo akuwan navyo ?
Mm naomba huyo mwanamke apelekwe mafinga kwa ajili ya kozi ya kuvumilia barid
 
alikua na extra
 
kweli umenigusa sana, tupo wote miaka miwili na sijawahi kumuomba hela wala vitu vikubwa. Huwa nafurahi tu na vitu vidogo kama vile nkisahau kueka simu chaji af niamke nkute ameniekea basi tu nafurahi na vitu vingine vidogo vidogo.Ila siku hizi hayupo hivo tena.
Mapenzi wanasema ni complex, wote wawili inabidi mjichunguze kwani unaweza kumlaumu yeye kumbe ni wewe kunakitu unafanya kwa kujua ama kutokujua kimesababisha nae aoneshe hisia zake negatively, so suluhisho ni kuongea nyinyi wawili kwa uwazi, mpate tatizo na ufumbuzi na mkumbushane na kuelimishana juu ya vikolombwezo vya mapenzi,
 
sawa nitajaribu
 
Back
Top Bottom