sawaNdio maana unamuita boyfriend, kumbe ni boy kweli
nilitumia upole tu kama kawaidaInategemea na Lugha uliyotumia
haijalishiBasi kuna jambo lingine, atakuwa hana umate umate
hanipi chochote,ila nakua moved sana akifanya minor stuffs,na he does that no more so ikaniumaKama anakupa pesaaa...!! Anakupa dozii safiii bhasii anakupendaa
Basi ridhika na hogo la jang'ombe mkuu.hanipagi hela
Usitake tutiane aibu iyo lugha mm bado cjaijuagot any prob with that
Huyo mwanaume wako atakuwa ana homa kali sana...hebu jaribu kukaa naye karibu akuelezee hali anayojisikia.Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
Muulize kulikoni? Uje kutupa jibu. ...sababu umeanzisha uzi wake tayari. ...tujifunze na sisinilitumia upole tu kama kawaida
ndio nitaitisha press kabisawewe naye!!! sasa sweta tu umekuja kulalamika siku ukimfumania si utaongea na vyombo/waandishi wa habari!!!
au ulikuwa unajifunza kuanzisha threat humu!!!!!
sawaMmh!wewe mwanamke!!!!??hapana.hauna sifa za kuwa mke.
umekosa cha kulalamikia wwndio