Huyu mwanaume ana roho ngumu

Huyu mwanaume ana roho ngumu

Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.

Uzungu huo [emoji23] unaleta kwa wa mbagala [emoji23]
 
Shoga we uyo kimeooooo ...mwanaume anaejua kucare shoga asingesubiri umuombe hilo koti angekupa tuuuu ila huyo piga chini fastaaaa atakupa tetemeko la moyo bureee
 
Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
Ww acha ujinga. Si nilikwambia uchue sweta yako ukakataa. Sasa unalalama nini!!

Na leo sikupi [emoji103] ili ulalamike vizuri.
 
Pole,mi mwenyewe ningemmaind yani baridi af ununyime sweta.Shusha hasira maisha yaendelee msamehe tu.
 
Labda alikuwa na athma!! .....kila mtu abebe zigo lake .....kwanini ulisahau sweta!!
 
Sheeee....yeye sio binadam? Umekadiria mwenzako kuwa nguo zinamtosha wakati hali anaisikia yeye.....acha kujipenda, ata yeye anajipenda kiafya....ungejipanga tangu home.
 
wanaume tunakufa haraka sababu ya ujinga kama huu ulioleta wewe huyo bf wako ataishi miaka 1500 kwa ujasiri alionao bora alikunyima mnajifanya sio wa nchi hii nyie
 
Wanawake mnaonaga wanaume kama ROBOTS ajiumize yeye kwaajir ako..mnaonaga nyie ndo mnadeserve better na wanaume sio WATU....mbona hujatuambia alichokununulia dukani??
 
Hukuangalia utabiri wa hali ya hewa?

Achaneni na hizi Soap Operas za Kifilipino, Life is real.

Nikufe na Kifua Kikuu kisa nakulinda mpenda Fashion?

Mlivyotoka ndani kwenda dukani ilikuwa jua Kali ukaacha sweeter? Au ulitaka utoke tu na See-Through yako waone ulivyo-boost maziwa?

Kama alikataa kukunulia sweeters hapo ni mada tofauti. Ila kama una nguo za joto na ukaacha ndani, basi ujue wewe ni Reeee namba moja
 
Tatzo umezoea kwny muvi wanapewaga masweta in real life hio ndo hali halisi... Not necessarily kwamba hakupendi, ukute anakupenda tena sanaa tuu...
 
Pole lakini naona sio jambo kubwa ..huenda hana tabia ya kushare nguo.
 
Back
Top Bottom