Huyu mwanaume ana roho ngumu

Huyu mwanaume ana roho ngumu

Hapo ungenyimwa pesa je?????!!!!
Hata hivyo alikukomaza ili upunguze kudekadeka.
 
mmh yaani sweta tu ndo unalalamika hivo???

Ahaaàaaa haaaaa jikaze sweta tu je?

Sku akikunyima unyumba si ndiyo utazimia kabisa!
Sipo kuwatetea kabisa wanawake , never, ila tusimame kwenye haki na ukweli:
Mapenzi hujengwa kwa maneno madogo tu ambayo ni Samahani, Pole, na Nakupenda,
Mtu asieelewa anafikiri mpaka afanye jambo kubwa kumuonyesha mwenzie kuwa anampenda kumbe ni yale yale madogo unayoyadharau ndio yanampa mwenzio kujisikia unampenda ama kuanza kuhisi humpendi, sasa wewe unapofanya hivyo mara mdada huyo kakutana na mkaka mstaarabu kwenye hivyo hivyo vitu vidogo mfano , unadhani ataacha kuvutiwa nae,
Wamama wanashauriwa wawe na mahaba kwa waume zao watokapo kazini, mfano kumpokea, kumvua koti ama tai, n.k, wasipofanya mchepuko unafanya hivyohivyo wanavyoviona vidogo penzi linahamia kwa mchepuko,
VITU VIDOGO NDIO HUUMBA VIKUBWA MSIMKATISHE TAMAA HUYU DADA YUKO SAWA, USHAURI AVIANGALIE HIVYO VIASHIRIA VIDOGO VIDOGO ILI AJUE KAMA PENZI NI SERIOUS AMA LA, NA WAFUNDISHANE PSYCHOLOJIA YA MAPENZI LABDA MWENZIE HANA MAARIFA HAYO, ILA AKIGOMA KUBADILIKA, AKILI KUMKICHWA DADAA![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahahaha, kwani bibie hukufika mlikokua mnaenda?. Hebu kaeni mzungumze, huenda mwenzio hajui umuhimu wa hivyo vitu, kucare ni kipaji ujue na ma play boy ndo wanaongoza kwa hicho kipaji. Alafu uache kuangalia sana muvi za Kifilipino na Kikorea zinapoteza watu sana.
 
siangaliagi me wa bongo movie tu
 
Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
Inategemea na Lugha uliyotumia
 
Sipo kuwatetea kabisa wanawake , never, ila tusimame kwenye haki na ukweli:
Mapenzi hujengwa kwa maneno madogo tu ambayo ni Samahani, Pole, na Nakupenda,
Mtu asieelewa anafikiri mpaka afanye jambo kubwa kumuonyesha mwenzie kuwa anampenda kumbe ni yale yale madogo unayoyadharau ndio yanampa mwenzio kujisikia unampenda ama kuanza kuhisi humpendi, sasa wewe unapofanya hivyo mara mdada huyo kakutana na mkaka mstaarabu kwenye hivyo hivyo vitu vidogo mfano , unadhani ataacha kuvutiwa nae,
Wamama wanashauriwa wawe na mahaba kwa waume zao watokapo kazini, mfano kumpokea, kumvua koti ama tai, n.k, wasipofanya mchepuko unafanya hivyohivyo wanavyoviona vidogo penzi linahamia kwa mchepuko,
VITU VIDOGO NDIO HUUMBA VIKUBWA MSIMKATISHE TAMAA HUYU DADA YUKO SAWA, USHAURI AVIANGALIE HIVYO VIASHIRIA VIDOGO VIDOGO ILI AJUE KAMA PENZI NI SERIOUS AMA LA, NA WAFUNDISHANE PSYCHOLOJIA YA MAPENZI LABDA MWENZIE HANA MAARIFA HAYO, ILA AKIGOMA KUBADILIKA, AKILI KUMKICHWA DADAA![emoji125][emoji125][emoji125]
kweli umenigusa sana, tupo wote miaka miwili na sijawahi kumuomba hela wala vitu vikubwa. Huwa nafurahi tu na vitu vidogo kama vile nkisahau kueka simu chaji af niamke nkute ameniekea basi tu nafurahi na vitu vingine vidogo vidogo.Ila siku hizi hayupo hivo tena.
 
Back
Top Bottom