Huyu mwanaume ana roho ngumu

Huyu mwanaume ana roho ngumu

Nildhani kitu cha maana anyway,.. Pole sana kwa iyo tukusaidieje!?
 
Wewe dawa yako ukutane na bandidu kama mimi ndio adabu itakukaa....[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Na sijawahi kuona uzi wa kipuuzi kama huu tangu new mtawala aingine madarakani
 
Kama ni Sweater tu msamehe ila kama ni mchoyo na vitu vingine basi ana asili ya ubinafsi
 
Pole my.Mimi Nimekuelewa vizuri sana.Hakuna kitu kinachouma kwenye Mapenzi kama Mpenzi kutojali.Mfano Mimi hapo zamani Na Mpenzi wa zamani.Nilienda kwake nikaacha kitenge.Sasa akakifunga vizuri.Na kuniambia upitie mzigo wako Fulani kwa Mengi.Kwa Maana Nilikuwa mbali Na yeye kidogo Sasa akanisogezea.Nilishasahau kama nilisahau kitenge kwake.(Hakuwa MTU wa kujali sana) yeye anajali pombe tu.Sasa aliposema pitia mzigo wako kwa Mangi.Jamani nilifurahi sana sana.Yaani Kuna ile hisia ya love..'mzigo wako'nikajua bonge la zawadi.Nikapitia kweli nilivyoibeba mngenionaaaa!!kwa uangalifu sana.Maana haikuwa desturi yake kutoa japo Mimi Nilikuwa mtoaji.Eeeh nafika nyumbani.Nafunguaaa.Hapana Jamani nikikumbuka Huwa naumia sana.Nikakuta Ni Kule kitenge changu nilichoachaga.(hii ilinitokea miaka 8 iliyopita)OK.Ila nilikosa raha.So wadada tunaumizwa Na vitu vidogo but kwetu Ni vikubwa sana.
Kweli kabisa
 
Angenyimwa pesa angeweka na picha yake kabisa
Wanawake bwanaa
 
Ndo shida kubwa ya "KE" wanapenda kupokea kuliko kutoa, yaani umimi ndo umekuwa mkubwa kwa wanawake wa kizazi hiki...
 
Na yeye anajua kuwa ingekuwa wewe ungempa bila kusita na ndo maana hakuona sababu ya kukupa halaf sekunde chache akuombe tena umrudishie.

By the way.kwa nin na wewe huna huruma? Yaan kweli unataka boyfriend wako apate baridi hiv hiv wewe uwe na sweta? Huo ni ubinafs na kukosa kujal au alisema yeye hasikii baridi?

Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
 
Yawezekana aliona barid kuliko unavyofikiri....so sio mbaya maana ulisacrifice kwaajili yake....
 
Pole weee, caring nayo ni kipaji hukutakiwa hata kumwomba,mwanaume anayejali angekupa bila kuombwa.....
Ni vema pia tukajifunza kuwa hata mwanaume ni kiumbe....kutokukupa sweta haimaanishi hakujali...bt inategemea pia barid kwake pia ilimuathiri vp....
 
Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
Huyo jamaa ni lazima atakuwa Mpare tu.
 
Back
Top Bottom