ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Naona ndo hilo hilo[emoji16]Sweta gani hilo....au hili la msaada kwa watu wa Marekani??

hukubanwa gafla,hali ya hewa ipo hivo ndomana mwenzio alivaa swetanilibanwa ghafla
Wewe kwanini usinunue la kwako?umaskin unakusumbuaNimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
Wewe ulishindwaje kuvumilia hako kaumbaliNimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
"Umate umate" pesa ambayo kuihesabu inabd upake mate kwenye vidolehaijalishi
sawaumekosa cha kulalamikia ww
lipiNaona ndo hilo hilo[emoji16]
uvumilivu upiUnakosa uvumilivu kabisa kwa jambo dogo tu, ndoa utaiweza kweli wewe?
ng'ang'ana kama ulikuepohukubanwa gafla,hali ya hewa ipo hivo ndomana mwenzio alivaa sweta
MmmmmhNimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
ndioWewe kwanini usinunue la kwako?umaskin unakusumbua
hatufananiWewe ulishindwaje kuvumilia hako kaumbali
Yani wanawake wa mjini ni Matatzo unshindwa kuvumilia baridi la dakika 5 ?
Wakat kuna mwenzako mwanamke wa Mafinga anafungiwa nje na Mme wake usiku mzma na kesho yake maisha yanaendelea tena kwa nizamu ya juu ,
bado haijalishi"Umate umate" pesa ambayo kuihesabu inabd upake mate kwenye vidole
"hakuna mahakama ya wapenzi wasiojali"Mmmmmh
Jaman beibiii.
Kwani we huwezi kusacrifice just a lilo kwajili yang...mana hata mm nilihisi baridii.
Alafuu...kama huwa vingi vinakukwazaa Na unakaa kimyaa...hili la sweta limekushindajee!!?
Na kama uliumia kias hiki why usinambie mama anguu
Huku jamii forum...hakuna maswetaa wala mahakama ya wapenzi wasiojali.
We kama umechokaa usiumie sana niache tuuu.. Vinginevyo endelea kuvumilia mana kiukweli unafiki sipendi
Hasa wakati wa baridi.
Afu punguza kudekaa.. Sawa bebiii...!!!..
Haya byee...mtoto mzuri...ntakununulia sweta eeeh
iweje mwenzio avae swetang'ang'ana kama ulikuepo
Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
duhlabda mwenzio ana ngiri ndo maana kaogopa baridi
Wa kunyimwa swetauvumilivu upi