Ndio hatua ya kwanza ya uchunguzi na itakufikisha kwenye uamuzi sahihi weww mwenyewe uamue ama uendelee nae akibadilika ama kama atadumu hivyo hivyo muda mrefu nafsi yako itaamua, maana ss hatunauwezo wa.kuvunja mapenzi, ni baina ya watu wawili, ila muwe na tabia ya kuwasiliana kwa uwazi ili muepushe mengi kwani bila kusema mwenzio sio malaika atajuaje, utaumia bure nafsi, communication makes love strong,sawa nitajaribu
Little things maters alot antie.Sasa hiko ndio cha kuumia mpaka kumfungulia uzi angekunyima kikubwa zaidi si ungemuacha
hahahahaaaaaaaa hataree humu kuna majibu na majawabuKwa hili tatizo afadhali ungeendelea kuwa guest tu.