Huyu mwanaume ana roho ngumu

Huyu mwanaume ana roho ngumu

nilijua ni mim peke yangu nimewahi mwambia mwanaume ana roho ngumu...wengi wa wanaume wa aina hii hawajali kabisa..wapowapo kama magari ya ijumaa mana yanaenda popote..i hate this type of men
 
Nilikuwa nakupima uwezo wako wa kuvumilia shida kma sweta tu umekuja kulalamika JF siku tukilala njaa siutaniandika kwny magazet yote ya udaku
 
jamani hadi kesi za masweta mnaleta huku? Kweli duniani kuna mambo!!!!
 
Angekuwa msukuma wa kolomije mwenye masweta mawili angekupa koja ,kwa hakika.msamehe bure.
 
Wanaume tunaojitambua huwa tuna machale sana, ukiona jamaa kafanya hivi basi juwa ameshakushitukia kuwa unachapwa au unagawa gegedo kwa mwingine, hivyo anakuacha tu uteseke. Hongera sana kwa huyo jamaa, anastahili sifa kwa kurudisha heshima kwetu wanaume tujitambuao. By the way, hii haiwahusu wanaume wa Dar.
 
Daaah!!! Vipi lakini unyumba huwa anakupa bila tatizo??
NB: huyo mwanume hana hisia kabisa na wewe ila amejiweka kwako kwa ajili ya hiyo baridi uliyotuambia..Angalia usawa mwingine
Ha ha ha ha
 
Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
Pole my.Mimi Nimekuelewa vizuri sana.Hakuna kitu kinachouma kwenye Mapenzi kama Mpenzi kutojali.Mfano Mimi hapo zamani Na Mpenzi wa zamani.Nilienda kwake nikaacha kitenge.Sasa akakifunga vizuri.Na kuniambia upitie mzigo wako Fulani kwa Mengi.Kwa Maana Nilikuwa mbali Na yeye kidogo Sasa akanisogezea.Nilishasahau kama nilisahau kitenge kwake.(Hakuwa MTU wa kujali sana) yeye anajali pombe tu.Sasa aliposema pitia mzigo wako kwa Mangi.Jamani nilifurahi sana sana.Yaani Kuna ile hisia ya love..'mzigo wako'nikajua bonge la zawadi.Nikapitia kweli nilivyoibeba mngenionaaaa!!kwa uangalifu sana.Maana haikuwa desturi yake kutoa japo Mimi Nilikuwa mtoaji.Eeeh nafika nyumbani.Nafunguaaa.Hapana Jamani nikikumbuka Huwa naumia sana.Nikakuta Ni Kule kitenge changu nilichoachaga.(hii ilinitokea miaka 8 iliyopita)OK.Ila nilikosa raha.So wadada tunaumizwa Na vitu vidogo but kwetu Ni vikubwa sana.
 
Back
Top Bottom