feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,985
- 18,575
"Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao".
Hapa nadhani kilichokuumiza ulishawaza mambo makubwa kwa kua familia yao ni tajiri,,dada kama kweli umeelimika hili halikua jambo la kukuwazisha hasa ukizingatia una umri mdogo ushauri wangu "USIPENDE KITONGA"