Huyu mwanaume alichonitendea kimeniumiza sana

Dada wa watu anajuta kwanini alikuja kuomba ushaur[emoji23][emoji23][emoji23]...unajua siku hizi sijui wasichana wanshida gani.. Kila mtu anaekuja kuomba ushauri kuhusu mwanaume ..lazima aweke neno utajiri au hela..utasikia kuna mkaka alikuwa ananipenda ofcoz ni mzuri ana hela anajiweza...yaani nikishaonaga mtu anaomba ushauri afu anaweka hayo maneno naonaga ananicheleweshea muda wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ata cjajuta coz kuna mengi mazuri meyapata humu af kama unaona unacheleweshewa mda wako mbna umehangaika ata kucomment ndugu wala hakuna cha kujutia apo
 
Mke wangu, mshikaji, jamaa au rafiki yeyote akitaka kunitumia ujumbe anatakiwa awe makini sana na uandishi.

Wewe kama mwanaume mpenzi wako anakuandikia enti (xaxa xweet, ctakuja, 2taonana n.k) harafu ukaendelea kucheka nae basi wote mtakuwa na tabia moja ya uandishi.
Dooooh hivi "enti" ndio nini vilee mkuu hebu nikumbushe kidogo.

Na hii "harafu" imenifanya niwe macho mpaka sasa kuitafuta kwenye kamusi ya kiswahili, kwahiyo ukinisaidia maanaye pia nitashukuru sana.

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja ufikishe 30 na watoto wawili bila ndoa ndiyo akili itakukaa Sawa,
Tena nyie mnao jidai bado mko chuo mnazengua Sana!
 
Ambae ana hela hana agend ya kuwekwa humu.
Dada wa watu anajuta kwanini alikuja kuomba ushaur[emoji23][emoji23][emoji23]...unajua siku hizi sijui wasichana wanshida gani.. Kila mtu anaekuja kuomba ushauri kuhusu mwanaume ..lazima aweke neno utajiri au hela..utasikia kuna mkaka alikuwa ananipenda ofcoz ni mzuri ana hela anajiweza...yaani nikishaonaga mtu anaomba ushauri afu anaweka hayo maneno naonaga ananicheleweshea muda wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.

Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia ck izi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.

Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore...

Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.
Eti umemaliza chuo!!! Si kwa mwandiko huu. Utasubiri sana.
 
Kwahyo

Kwahyo haukuwa na uhusiano nae wwte mpaka wao walipokuja kuleta hill ombi lao kwenu??? Just from no where tu hamna ukaribu wwte na huyo jamaa wala hakuwahi kukutamkia chchte mara gafla bin vuu hawa hapa wameleta posa kwenu!!!!naww ukaexpect something!!!! Hapo unanipa maswali mengi sanaaa au ndo kisa familia ya kitajiri kama ulivyosema ndomaana naww ukaanza kuexpect kitu na saiv unaona ni kinyume na matarajio ndomaana unalalamika????? Kuna tatizo upande wako kwakias kikubwa kuliko kwa huyo jamaa
 
we ndo una makosa, haiawezekani semester ndo ikufanye usitoe majibu ya moja kwa moja, kuna watu wanachumbiwa mwaka wa kwanza na anasubiriwa mpaka amalize alafu we unaleta nyodo za subiri nimalize akati watu wapo serious na jambo, kwanza huyo jamaa ni mstaarabu sana kutokujibu txt zako kama ni mwingine anaeza hata kukutukana
 
Hm

kuna mambo mengine umeeleza ni very unnecessary
 
Bertha jina la mama yangu kipenzi, ulikosea kumsubirisha wakati unamsubirisha ilibidi uwe unahandke vizuri usiburi akutafute maana we ndo umemsubirisha pia endelea na mahusiano yako ya mwanzo
 
Sio kwamba nime ku ignore nili gundua Ulkua unataka umalizie utamu iyo semester naka boy ka chuo..pole sana nimesha move on we endelea na maisha yako tu
 
Back
Top Bottom