Huyu mwanaume alichonitendea kimeniumiza sana

Mimi niliapa sioi mwanamke asiye na kazi ingawa mimi sijaajiriwa.
😀😀😀😀 Unaogopa mizinga eeh!?
Mabinti walioajiriwa nao wakiolewa wanazo changamoto zao kubwa sana tu... Hakawii kwenda kumtembelea mfanyakazi mwenzie wa kiume nyumbani na mara paaap wananogowa na kuonja onja tunda.
Bado Boss wake kazini naye ataanza kuchombeza chombeza pia.
Mara atakuambia anasafiri siku 4 kisa kuna Safari ya Kikazi, sijui mara Semina n.k.
Na Probably 78% ya mshahara wake kila mwezi itaishia kwenye Cosmetics, Nywele (Saluni, Mawigi n.k), Fancy clothes, fancy shoes, Handbags etc.
#BaadhiYao #DontGetMeTwisted
 
Hapana kuwa ignored ndo imeniumiza halafu pia he already started openning up na kunieleza kwamba anaitaji niwe mke wake af ghafla akakata mawasiliano
Hiyo ins onesha SUPPLY ni nyingi kuliko DEMAND !!
 
Habari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.

Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia ck izi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.

Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore...

Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.

Kuna mahali lazima umevuruga
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Unaogopa mizinga eeh!?
Mabinti walioajiriwa nao wakiolewa wanazo changamoto zao kubwa sana tu... Hakawii kwenda kumtembelea mfanyakazi mwenzie wa kiume nyumbani na mara paaap wananogowa na kuonja onja tunda.
Bado Boss wake kazini naye ataanza kuchombeza chombeza pia.
Mara atakuambia anasafiri siku 4 kisa kuna Safari ya Kikazi, sijui mara Semina n.k.
Na Probably 78% ya mshahara wake kila mwezi itaishia kwenye Cosmetics, Nywele (Saluni, Mawigi n.k), Fancy clothes, fancy shoes, Handbags etc.
#BaadhiYao #DontGetMeTwisted
Nimeoa mke wangu ana kazi nikiomba pesa napewa tu. Ata zangu anatumia tuakiziona au akioomba nampa au sina anaambiwa anaelewa.
 
duh pole endelea na mishe wanaume wapo wengi
 
Kama nakuona ulivyokuwa unawatambia rafiki zako kwamba soon unaendakuwa mama mjengo[emoji4] mixer Ku download magauni ya harusi namna utakavyopendeza kama sinderela siku hiyo. Hivyo ndio vinavyokutesa....unasahau siri ya maisha yako anayo Muumba, mshukuru Mungu songa mbele
 
Habari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.

Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia ck izi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.

Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore...

Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.
Mapenzi hayalazimishwi inaonekana wewe ndio unaforce uwe mkewe kwa vile familia ya kitajiri,tafuta wa level yako huko ameshasepa
 
Kwan unadhan kwetu maskini na nngekua na force mapenz mbna angenioa tuu
 
Hapana kuwa ignored ndo imeniumiza halafu pia he already started openning up na kunieleza kwamba anaitaji niwe mke wake af ghafla akakata mawasiliano
Tajiri kasepa wewe tafuta wa level yako
 
Kama nakuona ulivyokuwa unawatambia rafiki zako kwamba soon unaendakuwa mama mjengo[emoji4] mixer Ku download magauni ya harusi namna utakavyopendeza kama sinderela siku hiyo. Hivyo ndio vinavyokutesa....unasahau siri ya maisha yako anayo Muumba, mshukuru Mungu songa mbele
😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾
 
Kwan unadhan kwetu maskini na nngekua na force mapenz mbna angenioa tuu
Kukaa kimya kwake ni jibu tosha kwako,mapenzi hupangwa na mungu ukiona hivyo jua mtu wako hakua huyo...utapata wako mda ukifika
 
Back
Top Bottom