Labda nikuulze swal je uliwah kumpa uroda?? Na je amewah kukuomba na ukakataa??
Mshukuru sana Mungu wako kwa hili..kuna maumivu makubwa umeepushiwa mbeleni...just imagine mngefunga ndoa halafu ukawa ignored kama sasa ungejisikiaje?
sister kwenye ulimwengu huu wa mapenzi kwa jinsi nilivyosoma hapa nakushauri uwe makini sana usije ukajinyongaHabari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.
Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia ck izi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.
Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore...
Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.
Teh teh tehMkuu, huyu mwali naona analazimisha kujipea maradhi ya moyo akingali bado kigori...teh[emoji12]
Kifupi ulizingua, hakukua na kizuizi cha ww kuolewa labda kama ilikua semister ya mwisho form 2So ningeacha kumalizia semester moja tu ya mwisho nikaolewe eti kisa na msubirisha
Achana naye huyo anaonesha tu hajatulia ila naona jambo hilo limekusikitisha sana jitahidi kusahau mahusiano ndivyo yalivyo unaweza ukampenda mtu sana yeye akawa hana hata wazo.Inaonyesha wazazi wake ndiyo walimuhimiza kuja kujitambulisha ila yeye hakuwa na nia ki viile na sasa ulipozingua kwa kisingizio umalize masomo yako akapata nafasi ya ku ignore.Mtu kaja unamsuburisha vuna ulichopanda Nakushauri mpotezee tu jua mambo yako maaana ulizungua
[emoji6][emoji6][emoji6]chek pm
MdangajiHabari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.
Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia ck izi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.
Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore...
Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.
Nmekuelewa, ukiwa na mawazo haya utagongwa mnoo.Habari wana JF

Still young, keep livingHabari wana JF