Nakwambia angejinyonga huyo.Km kutojibiwa Meseji analia,wakati hakuwa ameolewa?!?!.Anyway labda alikuwa ameshapelekewa moto kwa hiyo alikuwa ameshanogewa.Mshukuru sana Mungu wako kwa hili..kuna maumivu makubwa umeepushiwa mbeleni...just imagine mngefunga ndoa halafu ukawa ignored kama sasa ungejisikiaje?
Hapo sasa, km risasi ishapenya hiyo ishu nyingineKwani ulimpea
Huo uandishi wako ndio maana jamaa kakuacha wewe utaandikaje....
Mda badala ya (Muda)
Bac badala ya (Basi)
Cku izi badala ya (Siku hizi)
Ivi badala ya (Hivi)
Af badala ya (Harafu)
Saiv badala ya (Sasa hivi)
Wanawake badilikeni huo uandishi kuna wanaume wengine hatupendi kuandikiwa hivyo.
[emoji2211][emoji2211]
Aisee[emoji849] mkuu unaonekana una principles ngumu hata mkeo anakazi na wewe!!!!
😀😀😀😀🙌🏾 nakazia hii hoja!"Kuna familia fulani hivi tajiri". Hapo nimefahamu kinachokuumiza!
Mpotezee... futa number yake lkn usimblock... uchune nazo wazazi wake/ wako wakikuiliza waambie wamuulize jamaa. Mwanaume anaetafutiwa mchumba na familia yake ana shida sehemu sio mzima. Shukuru mungu kakuepusha na kitu.
Aisee[emoji849] mkuu unaonekana una principles ngumu hata mkeo anakazi na wewe!!!!
Kabisa anakazi
I second this one.😀😀😀😀🙌🏾 Nadhani kijana angekuwa anatokea family masikini basi binti asingeumia hivi. #RichFamilykama angelikua ni maskini ungeendelea kumtext?wanaume tupo wengi ila usikate tamaa endelea kumtafuta fursa hiyo
Kwani baba ake anasemaje juu ya ili?
ApanaUlimpa "utamu" mtoto wa kitajiri ?
Mimi siyo mtaalamu sana katika sarufi ya lugha ya Kiswahili. Lakini nadhani pia nawe unayo makosa ya kiuandishi vile vile.Wewe kama mwanaume mpenzi wako anakuandikia enti (xaxa xweet, ctakuja, 2taonana n.k) harafu ukaendelea kucheka nae basi wote mtakuwa na tabia moja ya uandishi.